Uchaguzi 2020 Nimebadili maamuzi, wacha watuone wajinga tu ila na mimi kesho naenda Kupiga Kura

Huku Dar es Salaam hali ya hewa ni rafiki kabisa.

Jua limechomoza kwa ustadi wa hali ya juu, hali ya hewa sio kama jana ya mvua.

Hima hima watanzania tutoke majumbani kwetu kwenda kuonesha hawa wadhalimu ni kiasi gani wametutesa kwa miaka mingi.

Usiseme unaenda kupiga kura, sema naenda kumpa LISU Urais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeme Upo mwingi na Mimi hapa nautumia sijui wewe upo Morogoro ipi.
Halafu Umeme saa hizi unaathiri nini kwenye kutoa tiki kwa Magufuli?
Kapige kura basi.
JF inawatu smart sana, wewe hupaswi kuonyesha udhaifu kiasi hiki kwenye hii jamii. Angalia timestamp ya uzi wangu ili siku nyingine usiteleze. Mimi sijapost huu uzi asubuhi hii

Yani kweli huelewi uhusiano wa kukata umeme na hali iliyopo?
I rest my case with you.
 
Uongo hautawasaidia kitu Chadema
huu nao ni uongo...!! Mwenzangu unamtandao huko maana mimi nashindwa hata kupost biashara zangu na sijui hali hii ni hadi lini. Tena ndo unazidi kunitia hasira ngoja, ndo nakaribia kituoni. ntatoa hukumu yangu potelea pote!
 
Acheni ujinga wa kujitekenya na kucheka wenyewe. Mbona Moro umeme upo tu wala haujakata.

Mtajificha chooni wakati wa matokeo
Nimemjibu mwenzio post #23 hapo juu, kasome usiwe mvivu.
Kwa kukusaidia, hiyo post ni ya jana, na kama hukuexperience cutoff pia sio shida kwasababu post haikusema morogoro nzima. Tazama Muda uzi ulipoandikwa, utakua mjinga mpaka lini?
 
Nenda kapige kura na uache kulalama sana maana umeme, simu, mawasiliano - TVs ni maendeleo ya vitu. Usipende maendeleo ya vitu haina maana yoyote! Hivyo vyote unavyovitaka sasa ni vitu! Eti? Nenda kapige kura, akishindwa Lissu uridhike kwamba kura yako imeibiwa!
 
Punguza jazba ndugu yangu.
Hutakiwi kukereketwa na maamuzi yangu binafsi.
 
CCM must go halafu kura hupigi?
 
Watanzania kesho tujitokeze kwa wingi tukamuadhibu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Mkuu mimi nimeshamtandika za uso huyu Traitor...na nimefarijika kuona Watanzania wazalendo walivyodhamiria kumpa Magufuli miaka mitano TENAAA.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ndio misukule ya 2020 hiyo. Ukiangalia kajiunga lini JF, ndio utajua kuna mfumuko wa ID mpya kwa mwaka huu 2020.
 
La kuvunda halina ubani, kaka! In other words, every dog has his day.
 
Tuliposema magufuli hafai na wala hastahili kuendelea kuwa kiongozi wa hii nchi mlidhani labda hatumpendi ila mmejionea wenyewe.

Huyu mtu ni katili, muuaji, fedhuli na mnafiki wa kiwango cha juu kabisa kuwai kutokea.

Hujachelewa, nenda kapige kura na hamasisha watu wengi zaidi wakapige kura maana kura lazima ziwe nyingi hadi washindwe kuiba.

Ni lazima tumtoe huyu dikteta na Chama chake madarakani leo hii. Lazima tukamchague Tundu Antiphas Lissu ili Tanzania tuwe na uhuru haki na maendeleo ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…