Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile kauli za "mafuta niwajazie mimi, mishahara niwalipe mimi, halafu umtangaze mpinzani" zinakatisha tamaa ya mabadiliko! Wafanyakazi wote wa tume kuteuliwa na mgombea na Rais aliyeko madarakani,CCM must go halafu kura hupigi?
Mtu anayetaka mabadiliko, anatakiwa kutimiza wajibu wake.Zile kauli za "mafuta niwajazie mimi, mishahara niwalipe mimi, halafu umtangaze mpinzani" zinakatisha tamaa ya mabadiliko! Wafanyakazi wote wa tume kuteuliwa na mgombea na Rais aliyeko madarakani,
ukija kwenye sarakasi za wasimamizi wa huo uchaguzi hasa wale Wakurugenzi wa Halmashauri na ambao wengi wao ni makada watiifu na walioshindwa kwenye kura za maoni ndani ya chama mwaka 2015, polisi wetu kuegemea upande chama tawala, nk.
Vyote hivi vinafikirisha sana kuwa na ujasiri wa kupiga kura ndani ya utawala huu wa awamu ya tano. Anyway, nimehama makazi pia. Na sijaona kama ni sahihi kwangu kusafiri umbali mrefu, kurudi tena huko nilikotoka eti nikapige kura ambayo nina imani kabisa haitaheshimiwa.
Imeshanusurika mashambulizi 13500 mpaka jana usiku...kinga zote zimetumika mpaka zile zetu...Thank God jf pekee ndo iko hewani. Nishawaza mb zangu zote zitaenda bure wiki nzima.
MUNGU ILINDE JIEFU.
Ukweli upo wazi kabisa, ila kwa aina ya wasimamizi waliochaguliwa, namna watendaji kata walivyojipanga, jumlisha calmness ya watu Morogoro na aina ya mtu atakayetangaza matokeo! Bado safari yake itakuwa ngumu sana labda tu kwamba uhalisia utaonekana kwamba Kuna mtu kabebwaNinasikia Devota anaweza akamstaafisha mtu siasa za bungeni hapo Moro mjini,vp kunaukweli gani
Siku ya kuondoka magufuli madarakani, nitarudi kupiga kura. Au itokee mchakato wa Rasimu ya Katiba ya Wananchi ukarejeshwa na hivyo Nchi kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi, mamlaka yaliyopitiliza ya Rais kupunguzwa, nk! nitarejea bwashee.Mtu anayetaka mabadiliko, anatakiwa kutimiza wajibu wake.
Wajibu wake mdogo kabisa, akishindwa kuandamana, akishindwa kubadili sheria na mfumo, ni kupiga kura.
Akikataa kupiga kura, kwa makusudi, huyo hana haki ya kulalamika. Yeye mwenyewe anakuwa ameusaidia mfumo uliopo.
Kuna tofauti kati ya mtu anayepiga kura halafu kura yake ikabadilishwa, na mtu ambaye hajapiga kura kabisa.
Angalau aliyepiga kura anampa mwizi wa kura kazi ya kuiba kura.
Asiyepiga kura anamsaidia mtawala dhalimu kuwandeleza udhalimu wake.
Mkuu naunga mkono hoja Mimi nimeenda kutokana na figisu zinazondelea nikajua kumbe Hawa na wepesi Sana na wanaogopa kwahiyo nime piga kura wakiiba sawa, wakiharibu sawa ila ukweli watakuwa nao nafsini mwao na ahuhuda wao atabaki kuwa MunguKulingana na uhalisia wa mambo, sikuamini kama kuna hata chembe ya haki na nguvu ya kura yangu. Ila kama na wao wameogopa kiasi hiki, basi na mimi nitapiga kura, wacha iibiwe, wacha iharibiwe.
Sehemu kubwa ya Morogoro mjini umeme umezimwa tangu asubuhi. Labda kama wamerudisha dikika hizi, wanalengo gani, wanajua wenyewe.
Mitandao ya kijamii ndio kama mnavoiona.
Kama ulinotice, kuna muda simu za kawaida na msg zilikua hazitoki kabisa mchana.
ITV walikata matangazo ya Aljazeera
Star TV Wamekata matangazo ya BBC.
Inaweza kura yangu isiwe na msingi sana, lakini kama kuna watu wanaweweseka kiasi hiki, na wao ndo wanaojitamba, basi kipo wanachokihofia.
Nitapiga kura na nitaiachia nature iamue matumizi ya kura yangu. Ikienda kwa niliempigia sawa, ikiibiwa sawa, ikiharibiwa sawa.
Nafahamu kuna watu hawakupanga kupiga kura kulingana na hali iliyozoeleka. Nashauri tukapige kura, hata wasipoiruhusu kura yako iamue, wataelewa uhalisia uliopo mtaani, pengine wanaweza utumia uhalisia huo kwa kwa namna chanya.
UPDATE
Pichani (Find the attachment) ni uthibitisho wa nilichokiamua.
Sio kwamba sielewi uwepo wa hujuma, sio kwamba sielewi Commission ni mtetezi wa maslahi ya chama, sio kwamba sioni yanayojiri kwenye vituo mbali mbali ila nimepiga.
Kituo nilichopigia kura kuna mawakala wawili tuu, wakati kuna ushiriki wa wagombea kutoka vyama vinne. Silaumu mtu kuhusu mawakala, sijui wamekwama wapi, hata waliopo sijui ni wa chama kipi na kipi. Ila pamoja na viashiria vyote, bado kura nimepiga.
Nimesafiri mpaka Dodoma kata ya chamwino, Area A ili nitimize hili.
View attachment 1614527
Huna madhala yoyote kwa sababu siku zote upo hapo ulipo na tayari kura yako ilishajesabika huko.Hongera sana kwa kubadili maamuzi yako dakika za mwisho. Ni Lissu na Devotha Minja bila shaka ndiyo machaguo yako sahihi kwa hapo Moro town.
Mimi msimamo wangu uko pale pale. Sitapiga kura hiyo kesho. Ila nawatakia uchaguzi mwema wapenda mabadiliko wote nchini.
CCM and Company Limited must go!
baada ya kupiga kura, tunakukaribisha kwenye sherehe za kuapishwa JPM jijini dodoma, maendeleo hayana chama.Kulingana na uhalisia wa mambo, sikuamini kama kuna hata chembe ya haki na nguvu ya kura yangu. Ila kama na wao wameogopa kiasi hiki, basi na mimi nitapiga kura, wacha iibiwe, wacha iharibiwe.
Sehemu kubwa ya Morogoro mjini umeme umezimwa tangu asubuhi. Labda kama wamerudisha dikika hizi, wanalengo gani, wanajua wenyewe.
Mitandao ya kijamii ndio kama mnavoiona.
Kama ulinotice, kuna muda simu za kawaida na msg zilikua hazitoki kabisa mchana.
ITV walikata matangazo ya Aljazeera
Star TV Wamekata matangazo ya BBC.
Inaweza kura yangu isiwe na msingi sana, lakini kama kuna watu wanaweweseka kiasi hiki, na wao ndo wanaojitamba, basi kipo wanachokihofia.
Nitapiga kura na nitaiachia nature iamue matumizi ya kura yangu. Ikienda kwa niliempigia sawa, ikiibiwa sawa, ikiharibiwa sawa.
Nafahamu kuna watu hawakupanga kupiga kura kulingana na hali iliyozoeleka. Nashauri tukapige kura, hata wasipoiruhusu kura yako iamue, wataelewa uhalisia uliopo mtaani, pengine wanaweza utumia uhalisia huo kwa kwa namna chanya.
UPDATE
Pichani (Find the attachment) ni uthibitisho wa nilichokiamua.
Sio kwamba sielewi uwepo wa hujuma, sio kwamba sielewi Commission ni mtetezi wa maslahi ya chama, sio kwamba sioni yanayojiri kwenye vituo mbali mbali ila nimepiga.
Kituo nilichopigia kura kuna mawakala wawili tuu, wakati kuna ushiriki wa wagombea kutoka vyama vinne. Silaumu mtu kuhusu mawakala, sijui wamekwama wapi, hata waliopo sijui ni wa chama kipi na kipi. Ila pamoja na viashiria vyote, bado kura nimepiga.
Nimesafiri mpaka Dodoma kata ya chamwino, Area A ili nitimize hili.
View attachment 1614527
Katiba iliyopo imekupa haki ya kupiga kura, umeshindwa kuitumia.Siku ya kuondoka magufuli madarakani, nitarudi kupiga kura. Au itokee mchakato wa Rasimu ya Katiba ya Wananchi ukarejeshwa na hivyo Nchi kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi, mamlaka yaliyopitiliza ya Rais kupunguzwa, nk! nitarejea bwashee.
Huu ni msimamo wangu tu niliojiwekea baada tu ya uchaguzi mkuu wa 2015 na ambao nikishiriki kwa moyo mkunjufu kama ilivyokua kwa michakato mingine huko nyuma.
Hakuna wa kukuibia kura,piga upendavyo. Ruzuku ale nani?! Wakala atatumalizia posho bure, tukimaliza tunalalamika tumeibiwa kura kazi imeisha! Halafu bila aibu unasema ukabidhiwe Nchi wakati kituo kimoja cha kupiga kura kimekushinda! Tusifanye majaribio ya kuweka Nchi rehani. Chagua maendeleo au maneno!Kulingana na uhalisia wa mambo, sikuamini kama kuna hata chembe ya haki na nguvu ya kura yangu. Ila kama na wao wameogopa kiasi hiki, basi na mimi nitapiga kura, wacha iibiwe, wacha iharibiwe.
Sehemu kubwa ya Morogoro mjini umeme umezimwa tangu asubuhi. Labda kama wamerudisha dikika hizi, wanalengo gani, wanajua wenyewe.
Mitandao ya kijamii ndio kama mnavoiona.
Kama ulinotice, kuna muda simu za kawaida na msg zilikua hazitoki kabisa mchana.
ITV walikata matangazo ya Aljazeera
Star TV Wamekata matangazo ya BBC.
Inaweza kura yangu isiwe na msingi sana, lakini kama kuna watu wanaweweseka kiasi hiki, na wao ndo wanaojitamba, basi kipo wanachokihofia.
Nitapiga kura na nitaiachia nature iamue matumizi ya kura yangu. Ikienda kwa niliempigia sawa, ikiibiwa sawa, ikiharibiwa sawa.
Nafahamu kuna watu hawakupanga kupiga kura kulingana na hali iliyozoeleka. Nashauri tukapige kura, hata wasipoiruhusu kura yako iamue, wataelewa uhalisia uliopo mtaani, pengine wanaweza utumia uhalisia huo kwa kwa namna chanya.
UPDATE
Pichani (Find the attachment) ni uthibitisho wa nilichokiamua.
Sio kwamba sielewi uwepo wa hujuma, sio kwamba sielewi Commission ni mtetezi wa maslahi ya chama, sio kwamba sioni yanayojiri kwenye vituo mbali mbali ila nimepiga.
Kituo nilichopigia kura kuna mawakala wawili tuu, wakati kuna ushiriki wa wagombea kutoka vyama vinne. Silaumu mtu kuhusu mawakala, sijui wamekwama wapi, hata waliopo sijui ni wa chama kipi na kipi. Ila pamoja na viashiria vyote, bado kura nimepiga.
Nimesafiri mpaka Dodoma kata ya chamwino, Area A ili nitimize hili.
View attachment 1614527
Kwel umeamua mkuu hongeraKulingana na uhalisia wa mambo, sikuamini kama kuna hata chembe ya haki na nguvu ya kura yangu. Ila kama na wao wameogopa kiasi hiki, basi na mimi nitapiga kura, wacha iibiwe, wacha iharibiwe.
Sehemu kubwa ya Morogoro mjini umeme umezimwa tangu asubuhi. Labda kama wamerudisha dikika hizi, wanalengo gani, wanajua wenyewe.
Mitandao ya kijamii ndio kama mnavoiona.
Kama ulinotice, kuna muda simu za kawaida na msg zilikua hazitoki kabisa mchana.
ITV walikata matangazo ya Aljazeera
Star TV Wamekata matangazo ya BBC.
Inaweza kura yangu isiwe na msingi sana, lakini kama kuna watu wanaweweseka kiasi hiki, na wao ndo wanaojitamba, basi kipo wanachokihofia.
Nitapiga kura na nitaiachia nature iamue matumizi ya kura yangu. Ikienda kwa niliempigia sawa, ikiibiwa sawa, ikiharibiwa sawa.
Nafahamu kuna watu hawakupanga kupiga kura kulingana na hali iliyozoeleka. Nashauri tukapige kura, hata wasipoiruhusu kura yako iamue, wataelewa uhalisia uliopo mtaani, pengine wanaweza utumia uhalisia huo kwa kwa namna chanya.
UPDATE
Pichani (Find the attachment) ni uthibitisho wa nilichokiamua.
Sio kwamba sielewi uwepo wa hujuma, sio kwamba sielewi Commission ni mtetezi wa maslahi ya chama, sio kwamba sioni yanayojiri kwenye vituo mbali mbali ila nimepiga.
Kituo nilichopigia kura kuna mawakala wawili tuu, wakati kuna ushiriki wa wagombea kutoka vyama vinne. Silaumu mtu kuhusu mawakala, sijui wamekwama wapi, hata waliopo sijui ni wa chama kipi na kipi. Ila pamoja na viashiria vyote, bado kura nimepiga.
Nimesafiri mpaka Dodoma kata ya chamwino, Area A ili nitimize hili.
View attachment 1614527
mkuu, na mimi leo nimepiga kura kwa mara ya kwanza toka nizaliwe, miaka yote nilikua sioni umuhimu ila leo nimeamua pamoja na mazingira kuwa magumu ila nampa Lissu,Kulingana na uhalisia wa mambo, sikuamini kama kuna hata chembe ya haki na nguvu ya kura yangu. Ila kama na wao wameogopa kiasi hiki, basi na mimi nitapiga kura, wacha iibiwe, wacha iharibiwe.
Sehemu kubwa ya Morogoro mjini umeme umezimwa tangu asubuhi. Labda kama wamerudisha dikika hizi, wanalengo gani, wanajua wenyewe.
Mitandao ya kijamii ndio kama mnavoiona.
Kama ulinotice, kuna muda simu za kawaida na msg zilikua hazitoki kabisa mchana.
ITV walikata matangazo ya Aljazeera
Star TV Wamekata matangazo ya BBC.
Inaweza kura yangu isiwe na msingi sana, lakini kama kuna watu wanaweweseka kiasi hiki, na wao ndo wanaojitamba, basi kipo wanachokihofia.
Nitapiga kura na nitaiachia nature iamue matumizi ya kura yangu. Ikienda kwa niliempigia sawa, ikiibiwa sawa, ikiharibiwa sawa.
Nafahamu kuna watu hawakupanga kupiga kura kulingana na hali iliyozoeleka. Nashauri tukapige kura, hata wasipoiruhusu kura yako iamue, wataelewa uhalisia uliopo mtaani, pengine wanaweza utumia uhalisia huo kwa kwa namna chanya.
UPDATE
Pichani (Find the attachment) ni uthibitisho wa nilichokiamua.
Sio kwamba sielewi uwepo wa hujuma, sio kwamba sielewi Commission ni mtetezi wa maslahi ya chama, sio kwamba sioni yanayojiri kwenye vituo mbali mbali ila nimepiga.
Kituo nilichopigia kura kuna mawakala wawili tuu, wakati kuna ushiriki wa wagombea kutoka vyama vinne. Silaumu mtu kuhusu mawakala, sijui wamekwama wapi, hata waliopo sijui ni wa chama kipi na kipi. Ila pamoja na viashiria vyote, bado kura nimepiga.
Nimesafiri mpaka Dodoma kata ya chamwino, Area A ili nitimize hili.
View attachment 1614527
Nafahamu, sina tatizo na hilo. Ninatatzo na ufikiriaji wa watu wa namna yako.baada ya kupiga kura, tunakukaribisha kwenye sherehe za kuapishwa JPM jijini dodoma, maendeleo hayana chama.
dodoma utakuja au tukuletee nauli madale?Nafahamu, sina tatizo na hilo. Ninatatzo na ufikiriaji wa watu wa namna yako.