Uchaguzi 2020 Nimebadili maamuzi, wacha watuone wajinga tu ila na mimi kesho naenda Kupiga Kura

huu nao ni uongo...!! Mwenzangu unamtandao huko maana mimi nashindwa hata kupost biashara zangu na sijui hali hii ni hadi lini. Tena ndo unazidi kunitia hasira ngoja, ndo nakaribia kituoni. ntatoa hukumu yangu potelea pote!
Nimeshamalizana na ccm kiaina. potelea pote...
 
...mkawaambie wajifunze ukimwaga mboga (na sisi tunabakuli la ugali) na sisi tunamwaga ugali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…