The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Kwa huku kwetu jina la kwanza la Ener Ni la kikeMuite Ener Valencia
Ujinga upi?Ujinga unajidhihiri.
Kike 👍👍Hongera...wa kike au wa kiume?
Usichukulie kila kitu seriousSipendi mtu mwingine anichagulie jina la mtoto, bora nikae hata siku mbili mpaka nitakapopata jibu.
Dini?Kike 👍👍
XmassDini?
Enner ValenciaHabari wadau,
Kama kichwa kinavyosomeka, punde tuu baada ya mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kukamilika nimepata bahati ya mtoto wa like mke kajifungua .Sasa natafakari nimpe jina gani?
Je, aitwe Qatarina au Ecuadia? Au nimpe jina la yule jamaa aliyefunga magoli 2?
Ushauri tafadhari, ila 'comments' ziwe fupi fupi.
Muite Camila,cynthia,mellisa, stefania, mariella,Lucia, Marry,AliciaXmass