Nimebahatika kupata mtoto muda mfupi baada ya Mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kumalizika. Je, nimpe jina gani?

Hongera mkuu. Mshirikishe na mama tuone anasemaje.
 
Tumetawaliwa mpaka sasa ni balaa tupu watu hawaelewi faida ya majina ya ukoo mimi jina tu lilifanya nipate mkopo bila usumbufu kipindi nasoma sasa ita hayo majina ya kiulaya ulaya unaona ndio mafanikio

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sisi waafrika tu ndio tumeathirika na hiyo kasumba dunia nzima, eti mtu hapa Tanzania utakuta anaitwa Rashidi Abdallah, John Isaac, Fatuma Selemani au Mary Joseph yaani hakuna watu wa hovyo kama waafrika na majina yetu ya asili eti hatupendi kuyatumia na hakuna mtu wa bara yoyote nje ya Afrika anayeweza kutumia majina yetu ya asili. Thubutu.
 
Mkuu, mpe jina la Mamaako Mzazi! Hautajutia baraka lukuki utakazozipata, wewe na mtoto, kutoka kwa Mola!
 
Habari wadau,

Kama kichwa kinavyosomeka, punde tuu baada ya mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kukamilika nimepata bahati ya mtoto wa like mke kajifungua .Sasa natafakari nimpe jina gani?

Je, aitwe Qatarina au Ecuadia? Au nimpe jina la yule jamaa aliyefunga magoli 2?

Ushauri tafadhari, ila 'comments' ziwe fupi fupi.

ULIFANYA MAPENZI MWEZI WA PILI BOB
 
Habari wadau,

Kama kichwa kinavyosomeka, punde tuu baada ya mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kukamilika nimepata bahati ya mtoto wa like mke kajifungua .Sasa natafakari nimpe jina gani?

Je, aitwe Qatarina au Ecuadia? Au nimpe jina la yule jamaa aliyefunga magoli 2?

Ushauri tafadhari, ila 'comments' ziwe fupi fupi.
Muite Samiarina ama sysyumeriano ama chawa jr tu

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau,

Kama kichwa kinavyosomeka, punde tuu baada ya mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kukamilika nimepata bahati ya mtoto wa like mke kajifungua .Sasa natafakari nimpe jina gani?

Je, aitwe Qatarina au Ecuadia? Au nimpe jina la yule jamaa aliyefunga magoli 2?

Ushauri tafadhari, ila 'comments' ziwe fupi fupi.
Accidentally
 
Chagua yafuatayo

1--kombe la dunia
2--Qatar

au ecuado yatamfaa mtoto
 
Back
Top Bottom