Nimebahatika kupata mtoto muda mfupi baada ya Mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kumalizika. Je, nimpe jina gani?

Nimebahatika kupata mtoto muda mfupi baada ya Mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kumalizika. Je, nimpe jina gani?

Mpe jina la ukoo bwana au wewe hauna ukoo mbona wenyewe hawaitwi Masanja au Mapunda, acheni ulimbukeni bwana.
Tumetawaliwa mpaka sasa ni balaa tupu watu hawaelewi faida ya majina ya ukoo mimi jina tu lilifanya nipate mkopo bila usumbufu kipindi nasoma sasa ita hayo majina ya kiulaya ulaya unaona ndio mafanikio

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau,

Kama kichwa kinavyosomeka, punde tuu baada ya mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kukamilika nimepata bahati ya mtoto wa like mke kajifungua .Sasa natafakari nimpe jina gani?

Je, aitwe Qatarina au Ecuadia? Au nimpe jina la yule jamaa aliyefunga magoli 2?

Ushauri tafadhari, ila 'comments' ziwe fupi fupi.
Muite bibi tozo
 
Back
Top Bottom