Nimebahatika kupata mtoto muda mfupi baada ya Mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kumalizika. Je, nimpe jina gani?

Nimebahatika kupata mtoto muda mfupi baada ya Mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kumalizika. Je, nimpe jina gani?

Tumetawaliwa mpaka sasa ni balaa tupu watu hawaelewi faida ya majina ya ukoo mimi jina tu lilifanya nipate mkopo bila usumbufu kipindi nasoma sasa ita hayo majina ya kiulaya ulaya unaona ndio mafanikio

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mambo ya kizamani hayo kuitqna majina ya wanyama.
 
Habari wadau,

Kama kichwa kinavyosomeka, punde tuu baada ya mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kukamilika nimepata bahati ya mtoto wa like mke kajifungua .Sasa natafakari nimpe jina gani?

Je, aitwe Qatarina au Ecuadia? Au nimpe jina la yule jamaa aliyefunga magoli 2?

Ushauri tafadhari, ila 'comments' ziwe fupi fupi.
Samia mpiga mwingi
 
Helene/Helena
Hilda
Gabriella
Franceska
Averie
Jane
Abella
Abigail
Adriana
Alexis
Alana
Aaliyah
Nicole
Ariana
Aubrey
Bethany
Brandy
Briana
Sarah
Britney
 
Kuna mtoto anaitwa Loveness kifupi Love, mtaan Mama ake anaumita lavuuu kwa accent ya kinyakyusa imagine
 
Back
Top Bottom