Mbigirikavu
Senior Member
- Aug 19, 2022
- 101
- 118
Infantino.
Mwamba anaesumbua dunia kwa sasa.
Mwamba anaesumbua dunia kwa sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya kizamani hayo kuitqna majina ya wanyama.Tumetawaliwa mpaka sasa ni balaa tupu watu hawaelewi faida ya majina ya ukoo mimi jina tu lilifanya nipate mkopo bila usumbufu kipindi nasoma sasa ita hayo majina ya kiulaya ulaya unaona ndio mafanikio
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hangaya Ni sawaMuite ccm au hangaya maana 🙌🙌🙌🙌
NotedLynne
Samia mpiga mwingiHabari wadau,
Kama kichwa kinavyosomeka, punde tuu baada ya mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kukamilika nimepata bahati ya mtoto wa like mke kajifungua .Sasa natafakari nimpe jina gani?
Je, aitwe Qatarina au Ecuadia? Au nimpe jina la yule jamaa aliyefunga magoli 2?
Ushauri tafadhari, ila 'comments' ziwe fupi fupi.
Samia, the vice president. ilipendeza sana enzi zile.Jina zuri Samia
Vp unataka nikuzalishe maana tayari ninao wa kutosha!!Uzae wa kwako mkuu uwaite hayo.
Basi na zile mimba 'ulizonyofoa' zingeenea majina hayo.Vp unataka nikuzalishe maana tayari ninao wa kutosha!!
Camila na Melissa ndo nimeyaelewa
Helene/Helena
Hilda
Gabriella
Franceska
Averie
Jane
Abella
Abigail
Adriana
Alexis
Alana
Aaliyah
Nicole
Ariana
Aubrey
Bethany
Brandy
Briana
Sarah
Britney