Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Uzae wa kwako mkuu uwaite hayo.Muite Camila,cynthia,mellisa, stefania, mariella,Lucia, Marry,Alicia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzae wa kwako mkuu uwaite hayo.Muite Camila,cynthia,mellisa, stefania, mariella,Lucia, Marry,Alicia
CynthiaMuite Camila,cynthia,mellisa, stefania, mariella,Lucia, Marry,Alicia
Tulia weweUzae wa kwako mkuu uwaite hayo.
Tumetawaliwa mpaka sasa ni balaa tupu watu hawaelewi faida ya majina ya ukoo mimi jina tu lilifanya nipate mkopo bila usumbufu kipindi nasoma sasa ita hayo majina ya kiulaya ulaya unaona ndio mafanikioMpe jina la ukoo bwana au wewe hauna ukoo mbona wenyewe hawaitwi Masanja au Mapunda, acheni ulimbukeni bwana.
Muite bibi tozoHabari wadau,
Kama kichwa kinavyosomeka, punde tuu baada ya mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kukamilika nimepata bahati ya mtoto wa like mke kajifungua .Sasa natafakari nimpe jina gani?
Je, aitwe Qatarina au Ecuadia? Au nimpe jina la yule jamaa aliyefunga magoli 2?
Ushauri tafadhari, ila 'comments' ziwe fupi fupi.
Jina zuri SamiaMuite bibi tozo
Camila na Melissa ndo nimeyaelewaMuite Camila,cynthia,mellisa, stefania, mariella,Lucia, Marry,Alicia
Ni Moja ya jina zuri na nilitwmani nimuiye Samia ila shida Ni mkristoMkuu Kama ni Wa like kwanini usimuite jina la mama yetu Samia? Please fanya hivyo achukue jina la bibi yake
Noma sanaMwite lemutuz mkuu