Kwani kupata mtotowe unachukuliaje?Usichukulie kila kitu serious
Sio kwamba Sina majina yangu hapa Ni changamsha genge na miongoni mwa majina yangu ma 3 niliyoandaa hakuna hata mmja ambae ameweza kutaja Kati Yao.Kwani kupata mtotowe unachukuliaje?
Kwangu mimi hili swala halikua na mzaha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi waafrika tu ndio tumeathirika na hiyo kasumba dunia nzima, eti mtu hapa Tanzania utakuta anaitwa Rashidi Abdallah, John Isaac, Fatuma Selemani au Mary Joseph yaani hakuna watu wa hovyo kama waafrika na majina yetu ya asili eti hatupendi kuyatumia na hakuna mtu wa bara yoyote nje ya Afrika anayeweza kutumia majina yetu ya asili. Thubutu.Tumetawaliwa mpaka sasa ni balaa tupu watu hawaelewi faida ya majina ya ukoo mimi jina tu lilifanya nipate mkopo bila usumbufu kipindi nasoma sasa ita hayo majina ya kiulaya ulaya unaona ndio mafanikio
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Habari wadau,
Kama kichwa kinavyosomeka, punde tuu baada ya mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kukamilika nimepata bahati ya mtoto wa like mke kajifungua .Sasa natafakari nimpe jina gani?
Je, aitwe Qatarina au Ecuadia? Au nimpe jina la yule jamaa aliyefunga magoli 2?
Ushauri tafadhari, ila 'comments' ziwe fupi fupi.
Kike [emoji106][emoji106]
Muite Samiarina ama sysyumeriano ama chawa jr tuHabari wadau,
Kama kichwa kinavyosomeka, punde tuu baada ya mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kukamilika nimepata bahati ya mtoto wa like mke kajifungua .Sasa natafakari nimpe jina gani?
Je, aitwe Qatarina au Ecuadia? Au nimpe jina la yule jamaa aliyefunga magoli 2?
Ushauri tafadhari, ila 'comments' ziwe fupi fupi.
AccidentallyHabari wadau,

Subiri MAYELE ahamie kwa wana SeMBe ndipo utakapolifurahia vizuri hilo jina.Mm mchepuko wangu amejifungua siku yanga wanamlabua singida big star 4kwa 1
Nikampa jina la fisto mayele namugari