Nimebaki na 1% ya kumuamini Mungu

Nimebaki na 1% ya kumuamini Mungu

Mind you,Mungu hana hizi standards ni wewe unataka kuziweka!

Wapo wasiomkiri Mungu na wana mafanikio mara 1,000 kukuzidi.
Tena mwambie kazidiwa na hata tumaini la kufikia hapo akijua hata kuwa nalo kabisa.
 
1725735664841.jpg
 
Huyu baba wa mbinguni mnayesema anatupenda na ni mwingi wa huruma aje kubadilika kutuchoma moto. Doesn"t make sense to me
Hizi ni fix za wazi kabisa, inakupasa uwe kondoo ili kuamini haya.
 
Hii umeleta kauli-taarifa tumeipokea kwahio mkuu unataka tufanyeje?
Ulisema hivi Jan26
 
Shauri lako
Ama kweli shauri yangu kama Mungu tu umemuacha mimi je, itakuwaje na hivi ninavyokupenda hiyo siku si nitalia nakusaga meno huku nikioga vumbi!, binadamu hamuaminiki nyinyi..🤣
 
Huyu baba wa mbinguni mnayesema anatupenda na ni mwingi wa huruma aje kubadilika kutuchoma moto. Doesn"t make sense to me
Anakuchoma moto sababu ya kuishi nje ya amri alizotoa kwenye neno lake/ Biblia..

Ni mwingi wa huruma ukimrudia.. ila ukikaza fuvu ndio moto huo 🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom