Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,648
- 2,706
Namuona Mungu akinena ndani ya kinywa cha mtumishi wake Dr. Malasusa, hakika nimeponywa nafsi nimeuona utume wa Mungu ndani ya Malasusa.
Ee! Mungu wetu Asante kwa kutuletea mtumishi huyu.
Malasusa anasimama pamoja na watumishi wa Mungu wote wenye mapenzi mema na mioyo ya watanzania mfano wa mtume mwamposa na wengine.
Lakini PhD ya Dr Alex G. Malasusa mchango wake kwa Watanzania tunauona. Nimeponywa na mtumishi huyu.