kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,094
- 3,108
Kuna mtu nilikuwa nabisha nae sana leo, mimi ni muhitimu wa level ya degree kwenye coz zetu hizi ambazo kila chuo ukienda zipo, ila MEDICAL DOCTOR Kiukweli kabisa kutoka moyoni siamini kama kweli kuna mtu amemaliza hiyo course hana ajira, labda mnisaidie wenzangu wa JF.