safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Mkuuu Ma C.O wapo kitaa kibaoAsije akawa anawazungumzia madaktar wa certificate ...angalau wa diploma kidogo.
Sasa hv bhana maspecialist ndo hawalali njaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuu Ma C.O wapo kitaa kibaoAsije akawa anawazungumzia madaktar wa certificate ...angalau wa diploma kidogo.
Kama ni MD ,inategemea kazi una maanisha ya aina gani..lakin kwa hapa mjini MD hawez kukosa kijiwe cha kusukuma maisha tena maisha ya kawaida kabisaKuna mtu nilikuwa nabisha nae sana leo, mimi ni muhitimu wa level ya degree kwenye coz zetu hizi ambazo kila chuo ukienda zipo, ila MEDICAL DOCTOR Kiukweli kabisa kutoka moyoni siamini kama kweli kuna mtu amemaliza hiyo course hana ajira, labda mnisaidie wenzangu wa JF.
Dukuduku lako ni zuri sana japo watu wanachukulia kirahisi. Mtaani (hospital) madaktari hawatoshi na sehemu nyingi hazina huduma lakini inakuwaje wengine wanakosa kazi? Jibu ni: vipaumbele vya serikali ni vya hovyo. Ukienda wilayani, wilaya moja ina wateuli wa rais wengi wa kiasiasa wanaotumia gharama kubwa za kuwepo. eg mkuu wa wilaya, sijui makatibu tawala, wakurugenzi etc. Hawa wote wangeondolewa wakabakia viongozi wachache na pia wingi wa wabunge ukapunguzwa tukabakiwa na wabunge kama 100 - 150, na wizarani huko viongozi wakapunguzwa zingeoka fedha nyingi sana ambazo zingetumika kuajira madaktari.Kuna mtu nilikuwa nabisha nae sana leo, mimi ni muhitimu wa level ya degree kwenye coz zetu hizi ambazo kila chuo ukienda zipo, ila MEDICAL DOCTOR Kiukweli kabisa kutoka moyoni siamini kama kweli kuna mtu amemaliza hiyo course hana ajira, labda mnisaidie wenzangu wa JF.
Boda unafanyia WAP mkuuMimi hapa Doctor Mkali Ndubaro (Dmkali) natafuta kazi sijapata mkuu! Sahivi naendesha bodaboda
Madaktari wengi tangu 2015 hawajaajiriwa. Wengi kama hawako nyumbani, wamejishkiza kwenye vituo uchwara vya Afya huku wengine wakipunguza ugumu wa maisha kwa internships. Nenda Aga Khan tu hapo uone wanavyosulubika!!!Niliwahi kusikia Daktari mmoja amejiajiri kama DJ 😂 baada ya kukosa kazi
unasemaje kijana?
Ndio maana kale kamalaya kalisema bungeni kutamu anaweza ua mtu 😁 kumbe wako kimkakatiMadaktari wengi tangu 2015 hawajaajiriwa. Wengi kama hawako nyumbani, wamejishkiza kwenye vituo uchwara vya Afya huku wengine wakipunguza ugumu wa maisha kwa internships. Nenda Aga Khan tu hapo uone wanavyosulubika!!!
Mwaka jana wakati wa mkutano wa MATI kulikuwa na madaktari ( MD ) mtaani 2,700 Magu akaropoka kuajiri 1,000 na mpaka leo hajaajiri tena na kuna ongezeko tena.
In short, kuna upungufu mkubwa sana wa watumishi lakini Magu haoni uhitaji wala umuhimu.
Imagine mwaka 2017 wakati anazindua Mloganzila aliambiwa kuna upungufu wa watumishi wa Afya 90,000 yeye alitoa vibali vya ajira elfu 2 tu.
Yaani Magu ni bora achote pesa awahonge kina Mwita Waitara, wabunge wa upinzani na chaguzi ndogo ( kila chaguzi ndogo moja inakula 300M ). Uchaguzi mkuu hakuchukua pesa za UNDP ili akwepe waangalizi wa kimataifa.
Leo kavuruga uchaguzi mkuu halafu analazimisha wabunge wa upinzani kuwemo bungeni hata kwa kuvunja katiba. Na kwa hao wabunge 19 watazoa kama 19B.
Kwahiyo utaona akili ya Magu ilivyo, siyo kwamba pesa hakuna. Ila anachota pesa na kufanyia mambo yake ya kijuha kweli.
Kama ni MD ,inategemea kazi una maanisha ya aina gani..lakin kwa hapa mjini MD hawez kukosa kijiwe cha kusukuma maisha tena maisha ya kawaida kabisa
Hivi unajua mtu ambae anafanya kazi mahali akawa anaomba kazi kwingine kwenye green pasture huyo mtu ni unemployedIngia jukwaa l ajira uone madaktari wanaoomba kazi
Hawa deal lipo Mbeya kwa Dr wa kutoa funzaLabda kama daktari wa majipu na kutoa funza
Baada ya hii mitano kutakuwa na ma MD wengi ambao ni wachoma mahindi mtaani!Wenye udaktari wa kupewa baada ya kuandika hadithi za paukwa pakawa kama Dr Jiwe wamejaa bungeni na kwenye nafasi za uteuzi[emoji12][emoji12][emoji12]
Madaktari wa vimbora kama Dr manyaunyau bado wanasota kimya kimya maana mtaani pagumu sana wateja hatuna hela za kupiga ramli [emoji85][emoji85][emoji85]
Madaktari wa kweli yaani tabibu wapo wengi mtaani tunakula nao Dawa za Kiarusha[emoji12][emoji12][emoji12]mwingine juzi alikuja ofisini kwetu anaomba japo kazi ya ulinzi *****[emoji23][emoji23]huyo amekaa miaka 5-7 chuo Leo anaomba kuwa mlinzi.
Mabeberu wanatuonea wivu sana nasema uongo ndugu zangu[emoji860][emoji860][emoji860][emoji860][emoji860] wanawashwa washwa sana.
Duhh dokta huna kazi?Nimesomea udaktari mwaka wa pili sasa sina kazi