Nimebisha sana leo; ni kweli kuna Madaktari mtaani hawana kazi?

Nina rafiki zangu wawili tena wamesoma Cuba na hata vijiwe hawana!niku PM uwasaidie??
Pumbavu hao!!! wanataka mshahara wakwanza utosheleze gari kali, nyumba kali na pisi kali!
Waambie waendelee kusubiri maisha yakwenye video.
Af hata hivyo wanakilema chakujizania wao ni maalum kuliko kada zingine.
 
wewe bado haujapata tu?, Scientist, nliona uzi wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mkuu. Nahii mifive again sijui kiukweli....sioni walau dalili.

inafikia muda ambao inabidi ulipie leseni yako (maana unalipia kila mwaka) na kazi hata kijiwe huna mwaka mzima ,ila kulipia ni constant la sivyo unakua penalised.

inakatisha tamaa kiukweli.
 
Yes,last year ofisi yetu tulitangaza kazi za MD zaidi ya 50plus hatukupata ikabidi tujazie na hao wenye Diploma .Hata hao MD tuliowapata almost nusu wameshaacha kazi.Ni kwenye project ya USAID yenye mshahara mzuri tu na mikataba wa 5years kufanya kazi kwenye vituo vya afya ikiwa ni pamoja ya kusimami uratibu wa mradi kwenye wilaya zaidi ya 45 nchini (Hatukuweza kupata MD)
mkitangaza na lab scientist usinisahau mkuu maana hali c Hali mwaka wa pili huu unaelekea machweo bila bila.
 
MD wapo kibao mtaani , kuna wengine wanaamua kuomba kujitolea lakini pia nafasi zinakuwa hazipo(Volunteer)
sasa kama n hivyo,je hawa ndugu zetu(clinical officer) ambao vyuo vyao kwasasa vimekuwa kama utitili watafanya nn au watakuwa watu wa usafi
 
Not kuajiri ni kujiajiri....
Wagonjwa wote Hawa???
Miaka mitano walisomea nn?
Unajua elimu ya doctor?
Huwezi ukajiajiri wakati huna pesa ya kianzio, Hapa najitahidi nifanye sekta binafsi ili nipate mkataba wa kudumu
 
Namba inasomekaa Vilivyoo mzee ajiraa hakuna kama Huna connection mambo ni magumu sanaa...!! Serikali inataka watu wajitoleee tuu. Yani ingekuwa sio kutumia cheti changu kupata chochote kitu nahisi mtu unaweza ugua stress kabisa unatuma CV kilaa konaa.. Tangazo la ajira la NGOs likija wanataka uwe na experience ya miaka 3 sijuii yani balaa tupu.. AJIRA NI TATIZO LA VIJANA WOTE HAIJALISHI UMESOMEA NINI.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Yes,last year ofisi yetu tulitangaza kazi za MD zaidi ya 50plus hatukupata ikabidi tujazie na hao wenye Diploma .Hata hao MD tuliowapata almost nusu wameshaacha kazi.Ni kwenye project ya USAID yenye mshahara mzuri tu na mikataba wa 5years kufanya kazi kwenye vituo vya afya ikiwa ni pamoja ya kusimami uratibu wa mradi kwenye wilaya zaidi ya 45 nchini (Hatukuweza kupata MD)

Mshahara sh ngapi?
 
Maslahi yenu mabovu...! Hakuna Dr anaweza acha kazi kwenyw NGO aise...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Nimesomea udaktari mwaka wa pili sasa sina kazi
Mkuu,
Ukiambiwa Pesa anayolipwa 'Nesi' sio 'Dakitari' kwa Saa moja Marekani au Ireland,
Wewe unaweza kwenda kwa jogging pande hizo kila Bahari ikienda kutembea unasogea.

Sema ndio hivyo tena mmeipenda wenyewe Tz.
Si ajabu pia mkiambiwa ajira hiyo inalipa N'gambo mnawaponda washauri.

Mitano tena kisha, Sirbah.
 
Huyu mzee akigundua unakimbia kwenda kufanya kazi hukoo si atakupokonya lesenii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwanza siku hizii wamekatazwa kutoa vibali vya kwenda kufanya kazi nje tunapambana hapa hapa dadekii...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Huyu mzee akigundua unakimbia kwenda kufanya kazi hukoo si atakupokonya lesenii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwanza siku hizii wamekatazwa kutoa vibali vya kwenda kufanya kazi nje tunapambana hapa hapa dadekii...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app

Hahah mzee atakuonea wivu ukirudi hapa bongo utaanza kusema YOU KNOWOH!! YOUH KNOWOH!! [emoji23][emoji23]
 
Huyu mzee akigundua unakimbia kwenda kufanya kazi hukoo si atakupokonya lesenii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwanza siku hizii wamekatazwa kutoa vibali vya kwenda kufanya kazi nje tunapambana hapa hapa dadekii...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Ukijua ya huku wenzako wanajua ya kule.
'Kalaga baho'.
 
Back
Top Bottom