Nimebisha sana leo; ni kweli kuna Madaktari mtaani hawana kazi?

Nimebisha sana leo; ni kweli kuna Madaktari mtaani hawana kazi?

MD hawako mtaani ila hawa waliosoka Diploma za clinical medicine sijui wako wengi tu
 
Dukuduku lako ni zuri sana japo watu wanachukulia kirahisi. Mtaani (hospital) madaktari hawatoshi na sehemu nyingi hazina huduma lakini inakuwaje wengine wanakosa kazi? Jibu ni: vipaumbele vya serikali ni vya hovyo. Ukienda wilayani, wilaya moja ina wateuli wa rais wengi wa kiasiasa wanaotumia gharama kubwa za kuwepo. eg mkuu wa wilaya, sijui makatibu tawala, wakurugenzi etc. Hawa wote wangeondolewa wakabakia viongozi wachache na pia wingi wa wabunge ukapunguzwa tukabakiwa na wabunge kama 100 - 150, na wizarani huko viongozi wakapunguzwa zingeoka fedha nyingi sana ambazo zingetumika kuajira madaktari.
Sijui mtu mweusi anashida gani......hapo ataishia kulaumu mabeberu
 
Huu mwaka wa tano tokea nigundue udaktari nao ni mzigo tu kama wa kuni Bongo. Na bado retention fee 6% ya HESLB ipo palepale
 
Ndio maana kale kamalaya kalisema bungeni kutamu anaweza ua mtu 😁 kumbe wako kimkakati
Mwisho alijichekesha pasipochekesha ili ichukuliwe kuwa ni utani. Wanawake wabunge walio nyuma take wakaangaliana kwa mshangao.
Ukisema "ajue kusoma Na kuandika" ndio madhara yake
 
Kama ni MD ,inategemea kazi una maanisha ya aina gani..lakin kwa hapa mjini MD hawez kukosa kijiwe cha kusukuma maisha tena maisha ya kawaida kabisa
Nina rafiki zangu wawili tena wamesoma Cuba na hata vijiwe hawana!niku PM uwasaidie??
 
Una uhakika?
Yes,last year ofisi yetu tulitangaza kazi za MD zaidi ya 50plus hatukupata ikabidi tujazie na hao wenye Diploma .Hata hao MD tuliowapata almost nusu wameshaacha kazi.Ni kwenye project ya USAID yenye mshahara mzuri tu na mikataba wa 5years kufanya kazi kwenye vituo vya afya ikiwa ni pamoja ya kusimami uratibu wa mradi kwenye wilaya zaidi ya 45 nchini (Hatukuweza kupata MD)
 
Bado wanahitajika tena?
 
Back
Top Bottom