Nimesomea udaktari mwaka wa pili sasa sina kazi
Labda kama daktari wa majipu na kutoa funzaKuna mtu nilikuwa nabisha nae sana leo, mimi ni muhitimu wa level ya degree kwenye coz zetu hizi ambazo kila chuo ukienda zipo, ila MEDICAL DOCTOR Kiukweli kabisa kutoka moyoni siamini kama kweli kuna mtu amemaliza hiyo course hana ajira, labda mnisaidie wenzangu wa JF.
Asije akawa anawazungumzia madaktar wa certificate ...angalau wa diploma kidogo.Madaktari ni neno pana sana
Wa machoUdaktar wa nini?
Ngoja nimonia iongezeke wataajiri tummmh mbona hatari sana hii