Nimebubujikwa na machozi ya Furaha baada ya kumuona Rais Samia kwa Macho Yangu


Kaka na wewe ulikuwepo ikulu Leo?

Sifa zote ulizokuwa unatoa kumbe ulikuwa ujawahi kumuona Kwa macho yako?
 
Shahawa zilizokuzaa heri zingemwagwa chooni tu
 
Naomba kuuliza hiyo mama hapo hizo nywele zake ni Jet lee au namna gani. Zipo kichogoni
Nimeangalia avatar yako nikarudi kuangalia picha iliyopostiwa nimecheka mpaka nimetolewa nje😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Binadamu yeyote anayefanya hiyo kazi unayoifanya wewe ni tahira.
Mimi mzazi wangu pamoja na kunizaa lakini siwezi kumsifia kiasi hichi. Lakini wewe kwa utahira wako na njaa plus upumbavu kutwa kutwa unamsifia Rais dhaifu
 
Unaumwa wewe, sio bure😎
Hapana mkuu!!

Kama she's fine msingetuletea vi clip na vi picha!!
Ok angestage ziara ya faster ya kiutendaji ndani mipaka na akahutubia live tukajua kama Dr. Mpango alivyoibukia kwa church!!

Hivyo vi clip vitadanganya low mind lakini sio sisi aiseh!
 
Chawa wengine mmmmh
 
Nyumbu wa Chadema walikuwa wamemtangaza eti ni mgonjwa mahututi aliyewaita jina la nyumbu alifikiria mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…