Nimebubujikwa na machozi ya Furaha baada ya kumuona Rais Samia kwa Macho Yangu

Ndugu zangu Watanzania,

Nikiri wazi na kwa dhati ya Moyo Wangu kuwa Rais Samia ni kiongozi Ambaye namkubali sana utendaji kazi wake,uchapa kazi wake, unyenyekevu wake,upendo wake kwa watanzania, uzalendo wake,hekima na busara zake,moyo wake wa kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watanzania.

Umadhubuti,ushupavu,uimara na uhodari wake kiuongozi. Namkubali na kumuunga Mkono Rais Samia kwa moyo wangu wote kwa sababu ni kiongozi ambaye ameleta nuru kwenye Maisha ya watanzania,ameleta faraja , Matumaini,furaha , tabasamu kwenye mioyo ya mamilioni ya watanzania.Amefanya kazi kubwa ndani ya muda mfupi iliyogusa Maisha ya mamilioni ya watanzania.

Amefanya Makubwa na yenye kulihesimisha Taifa letu Utafikiri amekaa madarakani kwa muda wa karne moja yaani miaka mia moja. Ni kiongozi ambaye ni wa mfano na wa kuigwa barani Afrika. Kwangu RAIS Samia Ni Muwezeshaji wa watanzania.Ni Mama na kiongozi aliyeinua na kugusa maisha ya wengi sana waliokuwa wamekata tamaa.ni mama aliyeponya majeraha ya mioyo ya watu wengi sana.

Ni kiongozi mpenda haki,mwenye hofu ya Mungu kifuani pake.Ni Mama mlezi wa Taifa letu na mwenye dhamira njema na Taifa hili.Ni kiongozi ambaye huwezi kumpata kila Nchi.Ni kiongozi kwenye sifa ambazo huwezi kuzipata kwa watu wengi. Ni kiongozi ambaye unaona dhahiri kapewa kibali na Mungu cha kuongoza Taifa letu.

Sasa Leo baada ya kumuona Hadharani Mama huyu ambaye amegusa sana Moyo wangu tangia kushika kwake usukani wa Urais .nimejikuta nabubujikwa na Machozi ya furaha kuwahi kutokea ,nimejikuta moyo wangu umelipuka kwa shangwe kubwa sana kuwahi kutokea. Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.

Vipofu wa akili na Macho ambao kwa chuki wanashindwa kuona mchango Chanya wa Mama huyu .nawahakikishieni kuwa ipo siku mtalia na kububujikwa machozi utafikiri mmepakwa pilipili machoni huku mkipiga magoti kuomba msamaha .kwa matendo yenu ya chuki binafsi na ubaguzi. Ni bahati sana Taifa letu kuongozwa na kiongozi mwenye akili kubwa na maono makubwa ya kiuongozi kama aliyonayo Rais Samia .

Najua watanzania tuna tabia ya kumkumbuka Mtu au kiongozi akiwa ametoka madarakani.ipo siku watanzania mtamkumbuka Rais Samia na kutamani katiba ibadilishwe ili arejee tena madarakani. Ipo siku watanzania mtajuwa ya kuwa RAIS Samia ulikuwa ni Mpango wa Mungu mwenyewe kuwepo madarakani.ipo siku mtazikimbia na kujutia kauli zenu.

Unapata wapi ujasiri ewe mtanzania wa kumtukana Mama huyu Mwenye moyo wa upendo? Hivi watu kama CHADEMA wamesahau mara hii kuwa kabla ya Mama walikuwa hawawezi kufanya mikutano ya hadhara wala kufanya mikutano nje ya jimbo lako? CHADEMA wamesahau kuwa viongozi wao walikuwa na kesi mbalimbali katika mahakama zetu Nchini kwote? CHADEMA wamesahau kuwa walishindwa hata kupata nafsi tu ya kurejesha fomu za wagombea wao? Wanahabari mmesahau kuwa mlikuwa hamuwezi kuandika kila kitu mtakacho?

Viongozi wengine wa Dini tulishuhudia wakiwa mabubu kwa kila jambo halafu leo eti wengine wanajifanya kuinua vinywa vyao.sasa najiuliza kwanini sasa? Je ni chuki binafsi? Ni ubaguzi wa kidini ? Ni ubaguzi wa jinsia? Ni kutumika na kutumiwa na baadhi ya watu? Ni kusahau na kujisahau au kujisahaulisha?ni dharau au ni chokochoko?

View attachment 3149643

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3149643View attachment 3149644
Mama kazi bure tu tunafunga kuomba tupate Raisi anajali watu sio ndugu zake na marafiki na Mungu atatusikiliza tu. Huyu Mama kaangusha watu wengi sana wazalendo kabakiza machawa tu
 
Msimulaumu sn Mwasambwa haya maandiko ndio kula yake .. hawa wapo kimkakati kuboost umaarufu wa "Chura Kiziwi" yote kwa yote huyu kiongozi siyo chaguo la wananchi na hakubaliki huko mtaani hizi strategic za kumuumbia sifa ni sawa na bure tu.
 
Achana na ushoga, unaharibu akili.
 
Binadamu yeyote anayefanya hiyo kazi unayoifanya wewe ni tahira.
Mimi mzazi wangu pamoja na kunizaa lakini siwezi kumsifia kiasi hichi. Lakini wewe kwa utahira wako na njaa plus upumbavu kutwa kutwa unamsifia Rais dhaifu
Naona una maumivu makali sana moyoni mwako .vumilia tu maana huwezi kushindana na Mungu
 
Msimulaumu sn Mwasambwa haya maandiko ndio kula yake .. hawa wapo kimkakati kuboost umaarufu wa "Chura Kiziwi" yote kwa yote huyu kiongozi siyo chaguo la wananchi na hakubaliki huko mtaani hizi strategic za kumuumbia sifa ni sawa na bure tu.
Labda wewe ndiye hukubaliki
 
Hapana mkuu!!

Kama she's fine msingetuletea vi clip na vi picha!!
Ok angestage ziara ya faster ya kiutendaji ndani mipaka na akahutubia live tukajua kama Dr. Mpango alivyoibukia kwa church!!

Hivyo vi clip vitadanganya low mind lakini sio sisi aiseh!
Endelea na uchawi wako ewe usiye jitambua
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nikiri wazi na kwa dhati ya Moyo Wangu kuwa Rais Samia ni kiongozi Ambaye namkubali sana utendaji kazi wake,uchapa kazi wake, unyenyekevu wake,upendo wake kwa watanzania, uzalendo wake,hekima na busara zake,moyo wake wa kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watanzania.

Umadhubuti,ushupavu,uimara na uhodari wake kiuongozi. Namkubali na kumuunga Mkono Rais Samia kwa moyo wangu wote kwa sababu ni kiongozi ambaye ameleta nuru kwenye Maisha ya watanzania,ameleta faraja , Matumaini,furaha , tabasamu kwenye mioyo ya mamilioni ya watanzania.Amefanya kazi kubwa ndani ya muda mfupi iliyogusa Maisha ya mamilioni ya watanzania.

Amefanya Makubwa na yenye kulihesimisha Taifa letu Utafikiri amekaa madarakani kwa muda wa karne moja yaani miaka mia moja. Ni kiongozi ambaye ni wa mfano na wa kuigwa barani Afrika. Kwangu RAIS Samia Ni Muwezeshaji wa watanzania.Ni Mama na kiongozi aliyeinua na kugusa maisha ya wengi sana waliokuwa wamekata tamaa.ni mama aliyeponya majeraha ya mioyo ya watu wengi sana.

Ni kiongozi mpenda haki,mwenye hofu ya Mungu kifuani pake.Ni Mama mlezi wa Taifa letu na mwenye dhamira njema na Taifa hili.Ni kiongozi ambaye huwezi kumpata kila Nchi.Ni kiongozi kwenye sifa ambazo huwezi kuzipata kwa watu wengi. Ni kiongozi ambaye unaona dhahiri kapewa kibali na Mungu cha kuongoza Taifa letu.

Sasa Leo baada ya kumuona Hadharani Mama huyu ambaye amegusa sana Moyo wangu tangia kushika kwake usukani wa Urais .nimejikuta nabubujikwa na Machozi ya furaha kuwahi kutokea ,nimejikuta moyo wangu umelipuka kwa shangwe kubwa sana kuwahi kutokea. Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.

Vipofu wa akili na Macho ambao kwa chuki wanashindwa kuona mchango Chanya wa Mama huyu .nawahakikishieni kuwa ipo siku mtalia na kububujikwa machozi utafikiri mmepakwa pilipili machoni huku mkipiga magoti kuomba msamaha .kwa matendo yenu ya chuki binafsi na ubaguzi. Ni bahati sana Taifa letu kuongozwa na kiongozi mwenye akili kubwa na maono makubwa ya kiuongozi kama aliyonayo Rais Samia .

Najua watanzania tuna tabia ya kumkumbuka Mtu au kiongozi akiwa ametoka madarakani.ipo siku watanzania mtamkumbuka Rais Samia na kutamani katiba ibadilishwe ili arejee tena madarakani. Ipo siku watanzania mtajuwa ya kuwa RAIS Samia ulikuwa ni Mpango wa Mungu mwenyewe kuwepo madarakani.ipo siku mtazikimbia na kujutia kauli zenu.

Unapata wapi ujasiri ewe mtanzania wa kumtukana Mama huyu Mwenye moyo wa upendo? Hivi watu kama CHADEMA wamesahau mara hii kuwa kabla ya Mama walikuwa hawawezi kufanya mikutano ya hadhara wala kufanya mikutano nje ya jimbo lako? CHADEMA wamesahau kuwa viongozi wao walikuwa na kesi mbalimbali katika mahakama zetu Nchini kwote? CHADEMA wamesahau kuwa walishindwa hata kupata nafsi tu ya kurejesha fomu za wagombea wao? Wanahabari mmesahau kuwa mlikuwa hamuwezi kuandika kila kitu mtakacho?

Viongozi wengine wa Dini tulishuhudia wakiwa mabubu kwa kila jambo halafu leo eti wengine wanajifanya kuinua vinywa vyao.sasa najiuliza kwanini sasa? Je ni chuki binafsi? Ni ubaguzi wa kidini ? Ni ubaguzi wa jinsia? Ni kutumika na kutumiwa na baadhi ya watu? Ni kusahau na kujisahau au kujisahaulisha?ni dharau au ni chokochoko?

View attachment 3149643

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3149643View attachment 3149644
Wewe hata njaa ikikuuma lazima ububujikwe machozi.
 
M/Mungu ampe maisha marefu huyu mama Kwa aliyotufanyia sisi wanyonge,Kwa watawala wengi wa dini yao maisha yamekuwa na nafuu kubwa sana
 
Huyu alieandika hapa ni mume wa mtu kabisa.
 
Kwa kweli hata mimi machozi ya furaha yamenibubujika mfululizo baada ya kumuona Daktari Samia akiwa mwenye siha njema.
 
Zaidi kububujikwa na unyenyekevu huna cha zaidi hayo? Kweli unabubujikwaas
 
Siku tukijaliwa ujasiri na silaha za kutosha ,tutaanza na wewe
 
Ukipewa kazi flani au nafasi uko tayari kujua watu ili uishi wewe mzee tumbo tumbo.
 
Back
Top Bottom