Nimebubujikwa na machozi ya Furaha baada ya kumuona Rais Samia kwa Macho Yangu

Nimebubujikwa na machozi ya Furaha baada ya kumuona Rais Samia kwa Macho Yangu

1731397578378.png


Sasa Lucas Mwashambwa ni huyo mama?
 
Umejiangusha wewe na ujinga wao na uvivu wako
Nyie bakieni kushabikia ujinga wakati umasikini unaongezeka. Samia anajitajirisha na kuuwaachia nchi yenu bila katiba mpya, mikataba wa milele ya mafuta, bandari na madini. Nyie wajinga jinga mnadanganywa mtapewa vyeo kwa uchawa! mtasubiri sana. Sisi wengine tulishasoma mambo muda na tumejipanga kwasasa tunapigania nchi tu
 
Nyie bakieni kushabikia ujinga wakati umasikini unaongezeka. Samia anajitajirisha na kuuwaachia nchi yenu bila katiba mpya, mikataba wa milele ya mafuta, bandari na madini. Nyie wajinga jinga mnadanganywa mtapewa vyeo kwa uchawa! mtasubiri sana. Sisi wengine tulishasoma mambo muda na tumejipanga kwasasa tunapigania nchi tu
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni mzalendo wa kweli kwa Taifa letu na ambaye amejitolea na kujitoa kwa ajili ya Taifa.ndio maana wazalendo wote wa Taifa letu nikiwepo mimi Lucas Mwashambwa tupo upande wa Rais Samia mzalendo wa kweli na Jemedari hodari katika mapambano ya kupigania ustawi wa Taifa na watanzania kwa ujumla wake .
 
Acha wenye akili Timamu wajadili hoja
We mmsafwa au mmalila utakua na akili kulia hovyo kuwaona watu,
Ulishawai kulia baada ya kumuona babu yako au bibi yako huko swaya?
Acha kulialia mjinga wewe,safari yako ndefu ya mwisho ulienda mbarari kuvuna mpunga.
 
Wakuu mnaongea na mtu hata mafinga hapajui vizuri,yaani safari yake ndefu ilikua toka vwawa mpk makambako.
So msameheni tu aendelelee kulia.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nikiri wazi na kwa dhati ya Moyo Wangu kuwa Rais Samia ni kiongozi Ambaye namkubali sana utendaji kazi wake,uchapa kazi wake, unyenyekevu wake,upendo wake kwa watanzania, uzalendo wake,hekima na busara zake,moyo wake wa kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watanzania.

Umadhubuti,ushupavu,uimara na uhodari wake kiuongozi. Namkubali na kumuunga Mkono Rais Samia kwa moyo wangu wote kwa sababu ni kiongozi ambaye ameleta nuru kwenye Maisha ya watanzania,ameleta faraja , Matumaini,furaha , tabasamu kwenye mioyo ya mamilioni ya watanzania.Amefanya kazi kubwa ndani ya muda mfupi iliyogusa Maisha ya mamilioni ya watanzania.

Amefanya Makubwa na yenye kulihesimisha Taifa letu Utafikiri amekaa madarakani kwa muda wa karne moja yaani miaka mia moja. Ni kiongozi ambaye ni wa mfano na wa kuigwa barani Afrika. Kwangu RAIS Samia Ni Muwezeshaji wa watanzania.Ni Mama na kiongozi aliyeinua na kugusa maisha ya wengi sana waliokuwa wamekata tamaa.ni mama aliyeponya majeraha ya mioyo ya watu wengi sana.

Ni kiongozi mpenda haki,mwenye hofu ya Mungu kifuani pake.Ni Mama mlezi wa Taifa letu na mwenye dhamira njema na Taifa hili.Ni kiongozi ambaye huwezi kumpata kila Nchi.Ni kiongozi kwenye sifa ambazo huwezi kuzipata kwa watu wengi. Ni kiongozi ambaye unaona dhahiri kapewa kibali na Mungu cha kuongoza Taifa letu.

Sasa Leo baada ya kumuona Hadharani Mama huyu ambaye amegusa sana Moyo wangu tangia kushika kwake usukani wa Urais .nimejikuta nabubujikwa na Machozi ya furaha kuwahi kutokea ,nimejikuta moyo wangu umelipuka kwa shangwe kubwa sana kuwahi kutokea. Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.

Vipofu wa akili na Macho ambao kwa chuki wanashindwa kuona mchango Chanya wa Mama huyu .nawahakikishieni kuwa ipo siku mtalia na kububujikwa machozi utafikiri mmepakwa pilipili machoni huku mkipiga magoti kuomba msamaha .kwa matendo yenu ya chuki binafsi na ubaguzi. Ni bahati sana Taifa letu kuongozwa na kiongozi mwenye akili kubwa na maono makubwa ya kiuongozi kama aliyonayo Rais Samia .

Najua watanzania tuna tabia ya kumkumbuka Mtu au kiongozi akiwa ametoka madarakani.ipo siku watanzania mtamkumbuka Rais Samia na kutamani katiba ibadilishwe ili arejee tena madarakani. Ipo siku watanzania mtajuwa ya kuwa RAIS Samia ulikuwa ni Mpango wa Mungu mwenyewe kuwepo madarakani.ipo siku mtazikimbia na kujutia kauli zenu.

Unapata wapi ujasiri ewe mtanzania wa kumtukana Mama huyu Mwenye moyo wa upendo? Hivi watu kama CHADEMA wamesahau mara hii kuwa kabla ya Mama walikuwa hawawezi kufanya mikutano ya hadhara wala kufanya mikutano nje ya jimbo lako? CHADEMA wamesahau kuwa viongozi wao walikuwa na kesi mbalimbali katika mahakama zetu Nchini kwote? CHADEMA wamesahau kuwa walishindwa hata kupata nafsi tu ya kurejesha fomu za wagombea wao? Wanahabari mmesahau kuwa mlikuwa hamuwezi kuandika kila kitu mtakacho?

Viongozi wengine wa Dini tulishuhudia wakiwa mabubu kwa kila jambo halafu leo eti wengine wanajifanya kuinua vinywa vyao.sasa najiuliza kwanini sasa? Je ni chuki binafsi? Ni ubaguzi wa kidini ? Ni ubaguzi wa jinsia? Ni kutumika na kutumiwa na baadhi ya watu? Ni kusahau na kujisahau au kujisahaulisha?ni dharau au ni chokochoko?

View attachment 3149643

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3149643View attachment 3149644
Ungeweka na ka video tuone ulivyokuwa unabubujika😭😭😭😭
 
Ukikuwa unaona, unasikia, unasoma vituko vya ajabu kabisa kabisa 🤣 🤣 🤣 🤣 😂
Kweli kila binadamu ana ukichaa wake walahi!
 
Amefanya Makubwa na yenye kulihesimisha Taifa letu Utafikiri amekaa madarakani kwa muda wa karne moja yaani miaka mia moja. Ni kiongozi ambaye ni wa mfano na wa kuigwa barani Afrika. Kwangu RAIS Samia Ni Muwezeshaji wa watanzania.Ni Mama na kiongozi aliyeinua na kugusa maisha ya wengi sana waliokuwa wamekata tamaa.ni mama aliyeponya majeraha ya mioyo ya watu wengi sana.
 
Halafu jamaa nasikia machozi yako yanatokea makalioni tofauti na ya binadamu wengine yanatokea machoni
 
Back
Top Bottom