Nimebubujikwa na machozi ya Furaha baada ya kumuona Rais Samia kwa Macho Yangu

Ndugu zangu Watanzania,

Nikiri wazi na kwa dhati ya Moyo Wangu kuwa Rais Samia ni kiongozi Ambaye namkubali sana utendaji kazi wake,uchapa kazi wake, unyenyekevu wake,upendo wake kwa watanzania, uzalendo wake,hekima na busara zake,moyo wake wa kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watanzania.

Umadhubuti,ushupavu,uimara na uhodari wake kiuongozi. Namkubali na kumuunga Mkono Rais Samia kwa moyo wangu wote kwa sababu ni kiongozi ambaye ameleta nuru kwenye Maisha ya watanzania,ameleta faraja , Matumaini,furaha , tabasamu kwenye mioyo ya mamilioni ya watanzania.Amefanya kazi kubwa ndani ya muda mfupi iliyogusa Maisha ya mamilioni ya watanzania.

Amefanya Makubwa na yenye kulihesimisha Taifa letu Utafikiri amekaa madarakani kwa muda wa karne moja yaani miaka mia moja. Ni kiongozi ambaye ni wa mfano na wa kuigwa barani Afrika. Kwangu RAIS Samia Ni Muwezeshaji wa watanzania.Ni Mama na kiongozi aliyeinua na kugusa maisha ya wengi sana waliokuwa wamekata tamaa.ni mama aliyeponya majeraha ya mioyo ya watu wengi sana.

Ni kiongozi mpenda haki,mwenye hofu ya Mungu kifuani pake.Ni Mama mlezi wa Taifa letu na mwenye dhamira njema na Taifa hili.Ni kiongozi ambaye huwezi kumpata kila Nchi.Ni kiongozi kwenye sifa ambazo huwezi kuzipata kwa watu wengi. Ni kiongozi ambaye unaona dhahiri kapewa kibali na Mungu cha kuongoza Taifa letu.

Sasa Leo baada ya kumuona Hadharani Mama huyu ambaye amegusa sana Moyo wangu tangia kushika kwake usukani wa Urais .nimejikuta nabubujikwa na Machozi ya furaha kuwahi kutokea ,nimejikuta moyo wangu umelipuka kwa shangwe kubwa sana kuwahi kutokea. Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.

Vipofu wa akili na Macho ambao kwa chuki wanashindwa kuona mchango Chanya wa Mama huyu .nawahakikishieni kuwa ipo siku mtalia na kububujikwa machozi utafikiri mmepakwa pilipili machoni huku mkipiga magoti kuomba msamaha .kwa matendo yenu ya chuki binafsi na ubaguzi. Ni bahati sana Taifa letu kuongozwa na kiongozi mwenye akili kubwa na maono makubwa ya kiuongozi kama aliyonayo Rais Samia .

Najua watanzania tuna tabia ya kumkumbuka Mtu au kiongozi akiwa ametoka madarakani.ipo siku watanzania mtamkumbuka Rais Samia na kutamani katiba ibadilishwe ili arejee tena madarakani. Ipo siku watanzania mtajuwa ya kuwa RAIS Samia ulikuwa ni Mpango wa Mungu mwenyewe kuwepo madarakani.ipo siku mtazikimbia na kujutia kauli zenu.

Unapata wapi ujasiri ewe mtanzania wa kumtukana Mama huyu Mwenye moyo wa upendo? Hivi watu kama CHADEMA wamesahau mara hii kuwa kabla ya Mama walikuwa hawawezi kufanya mikutano ya hadhara wala kufanya mikutano nje ya jimbo lako? CHADEMA wamesahau kuwa viongozi wao walikuwa na kesi mbalimbali katika mahakama zetu Nchini kwote? CHADEMA wamesahau kuwa walishindwa hata kupata nafsi tu ya kurejesha fomu za wagombea wao? Wanahabari mmesahau kuwa mlikuwa hamuwezi kuandika kila kitu mtakacho?

Viongozi wengine wa Dini tulishuhudia wakiwa mabubu kwa kila jambo halafu leo eti wengine wanajifanya kuinua vinywa vyao.sasa najiuliza kwanini sasa? Je ni chuki binafsi? Ni ubaguzi wa kidini ? Ni ubaguzi wa jinsia? Ni kutumika na kutumiwa na baadhi ya watu? Ni kusahau na kujisahau au kujisahaulisha?ni dharau au ni chokochoko?View attachment 3149643

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3149643View attachment 3149644
Alafu unakuta huyu jamaa, ana mke na watoto kadhaaa, wanamuona mtu wa maana,, kumbe ni mlamba visigino huku,,, ili apate teuzi…🥺
 
Leo ni siku mbaya sana kwenu Ninyi wajinga jinga na wapiga Ramli
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nikiri wazi na kwa dhati ya Moyo Wangu kuwa Rais Samia ni kiongozi Ambaye namkubali sana utendaji kazi wake,uchapa kazi wake, unyenyekevu wake,upendo wake kwa watanzania, uzalendo wake,hekima na busara zake,moyo wake wa kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watanzania.

Umadhubuti,ushupavu,uimara na uhodari wake kiuongozi. Namkubali na kumuunga Mkono Rais Samia kwa moyo wangu wote kwa sababu ni kiongozi ambaye ameleta nuru kwenye Maisha ya watanzania,ameleta faraja , Matumaini,furaha , tabasamu kwenye mioyo ya mamilioni ya watanzania.Amefanya kazi kubwa ndani ya muda mfupi iliyogusa Maisha ya mamilioni ya watanzania.

Amefanya Makubwa na yenye kulihesimisha Taifa letu Utafikiri amekaa madarakani kwa muda wa karne moja yaani miaka mia moja. Ni kiongozi ambaye ni wa mfano na wa kuigwa barani Afrika. Kwangu RAIS Samia Ni Muwezeshaji wa watanzania.Ni Mama na kiongozi aliyeinua na kugusa maisha ya wengi sana waliokuwa wamekata tamaa.ni mama aliyeponya majeraha ya mioyo ya watu wengi sana.

Ni kiongozi mpenda haki,mwenye hofu ya Mungu kifuani pake.Ni Mama mlezi wa Taifa letu na mwenye dhamira njema na Taifa hili.Ni kiongozi ambaye huwezi kumpata kila Nchi.Ni kiongozi kwenye sifa ambazo huwezi kuzipata kwa watu wengi. Ni kiongozi ambaye unaona dhahiri kapewa kibali na Mungu cha kuongoza Taifa letu.

Sasa Leo baada ya kumuona Hadharani Mama huyu ambaye amegusa sana Moyo wangu tangia kushika kwake usukani wa Urais .nimejikuta nabubujikwa na Machozi ya furaha kuwahi kutokea ,nimejikuta moyo wangu umelipuka kwa shangwe kubwa sana kuwahi kutokea. Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.

Vipofu wa akili na Macho ambao kwa chuki wanashindwa kuona mchango Chanya wa Mama huyu .nawahakikishieni kuwa ipo siku mtalia na kububujikwa machozi utafikiri mmepakwa pilipili machoni huku mkipiga magoti kuomba msamaha .kwa matendo yenu ya chuki binafsi na ubaguzi. Ni bahati sana Taifa letu kuongozwa na kiongozi mwenye akili kubwa na maono makubwa ya kiuongozi kama aliyonayo Rais Samia .

Najua watanzania tuna tabia ya kumkumbuka Mtu au kiongozi akiwa ametoka madarakani.ipo siku watanzania mtamkumbuka Rais Samia na kutamani katiba ibadilishwe ili arejee tena madarakani. Ipo siku watanzania mtajuwa ya kuwa RAIS Samia ulikuwa ni Mpango wa Mungu mwenyewe kuwepo madarakani.ipo siku mtazikimbia na kujutia kauli zenu.

Unapata wapi ujasiri ewe mtanzania wa kumtukana Mama huyu Mwenye moyo wa upendo? Hivi watu kama CHADEMA wamesahau mara hii kuwa kabla ya Mama walikuwa hawawezi kufanya mikutano ya hadhara wala kufanya mikutano nje ya jimbo lako? CHADEMA wamesahau kuwa viongozi wao walikuwa na kesi mbalimbali katika mahakama zetu Nchini kwote? CHADEMA wamesahau kuwa walishindwa hata kupata nafsi tu ya kurejesha fomu za wagombea wao? Wanahabari mmesahau kuwa mlikuwa hamuwezi kuandika kila kitu mtakacho?

Viongozi wengine wa Dini tulishuhudia wakiwa mabubu kwa kila jambo halafu leo eti wengine wanajifanya kuinua vinywa vyao.sasa najiuliza kwanini sasa? Je ni chuki binafsi? Ni ubaguzi wa kidini ? Ni ubaguzi wa jinsia? Ni kutumika na kutumiwa na baadhi ya watu? Ni kusahau na kujisahau au kujisahaulisha?ni dharau au ni chokochoko?

View attachment 3149643

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3149643View attachment 3149644
Mbona hajaonyeshwa kwenye taarifa ya habari?
 
Mkuu "Lucas" mtoa mada kwanza kabsaa ninaamin unamapenzi ya dhati kwa mhe. raisi.Ila kusema kwelu una roho ngumu saana maana pamoja na spanner hizo unazokazwa lkn utadhan hunaga nafsi ya kujtafakari.Anyway:-
1. unajifunza nin kwa coments za watz wenzako!?
2.Je unadhan unampenda mhe raisi kuliko wao (wanaokukosoa)?
3.Je huwa unamwombea huko sirini kwako au unaishiaga kutusimulia humu jukwaani!?
4.Unawachukuliaje watu wanakinzana na hisia zako!?.
5.Unadhani ni ipi standard halisi ya kumpenda Mhe raisi na taifa kwa ujumla?je,nukuwa kama wewe uonavyo/ufanyavyo wew?
 
hata elimu ya shule ya msingi nina mashaka hukupata maarifa kabisa ulitoka patupu wewe, msingi ukiwa mbovu watu wengi hugeuka mbu mbu mbu! 😀 ....Hayo yote uliyoyazungumza waambie na nduguzo katika ukoo wako wote ili wajue unachokinena mitandaoni wakusikitikie😛😛
 
Huyu Lucas Mwashambwa hana habari kwamba Wakandarasi wamefilisika, TANROADS na TARURA hakuna hela!
Viongozi wanatafuna pesa kwa ziara zisizokuwa na vichwa Wala miguu!
Mambo ambayo mwamba Hayati Magufuli walipiga marufuku ndiyo yamekausha hazina!
Mtaani fedha hakuna , bei za bidhaa ziko juu! Ndani ya muda mfupi sana nauli za mabasi zime double!
Mfano ,Dar - Musoma sasa ni elfu 95 kutoka elfu 45 toka Mama amechukua usukani.
Halafu Mwashambwa anabubujikwa machozi, kwanza kububujikwa machozi ni tabia ya kike!
 
Fanya kazi upate pesa na siyo kufanya kazi ya kupiga umbeya na porojo kwa majirani halafu unakuja hapa kusema pesa hakuna.sasa unataka pesa zitoke wapi wakati wewe ni livivu na limbeya tu.
 
Mkuu "Lucas" mtoa mada kwanza kabsaa ninaamin unamapenzi ya dhati kwa mhe. raisi.Ila kusema kwelu una roho ngumu saana maana pamoja na spanner hizo unazokazwa lkn utadhan hunaga nafsi ya kujtafakari.Anyway:-
1. unajifunza nin kwa coments za watz wenzako!?
2.Je unadhan unampenda mhe raisi kuliko wao (wanaokukosoa)?
3.Je huwa unamwombea huko sirini kwako au unaishiaga kutusimulia humu jukwaani!?
4.Unawachukuliaje watu wanakinzana na hisia zako!?.
5.Unadhani ni ipi standard halisi ya kumpenda Mhe raisi na taifa kwa ujumla?je,nukuwa kama wewe uonavyo/ufanyavyo wew?
Umewahi kusoma habari za Galileo?
 
Vipi
Ndugu zangu Watanzania,

Nikiri wazi na kwa dhati ya Moyo Wangu kuwa Rais Samia ni kiongozi Ambaye namkubali sana utendaji kazi wake,uchapa kazi wake, unyenyekevu wake,upendo wake kwa watanzania, uzalendo wake,hekima na busara zake,moyo wake wa kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watanzania.

Umadhubuti,ushupavu,uimara na uhodari wake kiuongozi. Namkubali na kumuunga Mkono Rais Samia kwa moyo wangu wote kwa sababu ni kiongozi ambaye ameleta nuru kwenye Maisha ya watanzania,ameleta faraja , Matumaini,furaha , tabasamu kwenye mioyo ya mamilioni ya watanzania.Amefanya kazi kubwa ndani ya muda mfupi iliyogusa Maisha ya mamilioni ya watanzania.

Amefanya Makubwa na yenye kulihesimisha Taifa letu Utafikiri amekaa madarakani kwa muda wa karne moja yaani miaka mia moja. Ni kiongozi ambaye ni wa mfano na wa kuigwa barani Afrika. Kwangu RAIS Samia Ni Muwezeshaji wa watanzania.Ni Mama na kiongozi aliyeinua na kugusa maisha ya wengi sana waliokuwa wamekata tamaa.ni mama aliyeponya majeraha ya mioyo ya watu wengi sana.

Ni kiongozi mpenda haki,mwenye hofu ya Mungu kifuani pake.Ni Mama mlezi wa Taifa letu na mwenye dhamira njema na Taifa hili.Ni kiongozi ambaye huwezi kumpata kila Nchi.Ni kiongozi kwenye sifa ambazo huwezi kuzipata kwa watu wengi. Ni kiongozi ambaye unaona dhahiri kapewa kibali na Mungu cha kuongoza Taifa letu.

Sasa Leo baada ya kumuona Hadharani Mama huyu ambaye amegusa sana Moyo wangu tangia kushika kwake usukani wa Urais .nimejikuta nabubujikwa na Machozi ya furaha kuwahi kutokea ,nimejikuta moyo wangu umelipuka kwa shangwe kubwa sana kuwahi kutokea. Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.

Vipofu wa akili na Macho ambao kwa chuki wanashindwa kuona mchango Chanya wa Mama huyu .nawahakikishieni kuwa ipo siku mtalia na kububujikwa machozi utafikiri mmepakwa pilipili machoni huku mkipiga magoti kuomba msamaha .kwa matendo yenu ya chuki binafsi na ubaguzi. Ni bahati sana Taifa letu kuongozwa na kiongozi mwenye akili kubwa na maono makubwa ya kiuongozi kama aliyonayo Rais Samia .

Najua watanzania tuna tabia ya kumkumbuka Mtu au kiongozi akiwa ametoka madarakani.ipo siku watanzania mtamkumbuka Rais Samia na kutamani katiba ibadilishwe ili arejee tena madarakani. Ipo siku watanzania mtajuwa ya kuwa RAIS Samia ulikuwa ni Mpango wa Mungu mwenyewe kuwepo madarakani.ipo siku mtazikimbia na kujutia kauli zenu.

Unapata wapi ujasiri ewe mtanzania wa kumtukana Mama huyu Mwenye moyo wa upendo? Hivi watu kama CHADEMA wamesahau mara hii kuwa kabla ya Mama walikuwa hawawezi kufanya mikutano ya hadhara wala kufanya mikutano nje ya jimbo lako? CHADEMA wamesahau kuwa viongozi wao walikuwa na kesi mbalimbali katika mahakama zetu Nchini kwote? CHADEMA wamesahau kuwa walishindwa hata kupata nafsi tu ya kurejesha fomu za wagombea wao? Wanahabari mmesahau kuwa mlikuwa hamuwezi kuandika kila kitu mtakacho?

Viongozi wengine wa Dini tulishuhudia wakiwa mabubu kwa kila jambo halafu leo eti wengine wanajifanya kuinua vinywa vyao.sasa najiuliza kwanini sasa? Je ni chuki binafsi? Ni ubaguzi wa kidini ? Ni ubaguzi wa jinsia? Ni kutumika na kutumiwa na baadhi ya watu? Ni kusahau na kujisahau au kujisahaulisha?ni dharau au ni chokochoko?

View attachment 3149643

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3149643View attachment 3149644
Mkuu una ka video hapo utuwekee tumwone mama yetu kipenzi akichapa kazi?
 
Wata

Watanzania wote hawajamwona leo isipokuwa wewe mtoto wa mbwa ndo umemwona, kwanini unaidharau sana Taasisi ya Urais wewe mbwa?
Rais akiwa kwenye function yoyote ile Taifa lote humwona kupitia vyombo vya Habari,leo wewe mbwa umemwona peke yako,shenz sana wewe.
 
Back
Top Bottom