Nimebuni wazo la kufanyisha mtihani watoto online naombeni support yenu. Ninao Walimu wa uhakika

Nimebuni wazo la kufanyisha mtihani watoto online naombeni support yenu. Ninao Walimu wa uhakika

Barackachess

Senior Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
156
Reaction score
122
TUNAELEKEA MWISHO WA MWAKA 2022, EWE MZAZI/MWALIMU/MLEZI/MWANAFUNZI tunakukaribisha katika mtihani wetu wa kufungia mwaka siku ya Jumatano ya Tarehe 14.12.2022 saa 08:00PM (Usiku) katika somo la Biology kwa gharama ya shilingi 1,000/= pekee.

Lengo la mtihani huu ni kumpima mwanafunzi uelewa wake katika somo husika lakini pia kumjengea msingi mzuri wakupenda kujinoa kipindi cha likizo kwa yale masomo atakayo yachagua.

Wanafunzi 3 bora katika shindano hili la somo hili watapatiwa zawadi mbalimbali kwa ajili ya kuwapa motisha.

Mara baada ya mtihani kumalizika tutaandaa corrections (Masahihisho) yatakayo fanywa siku ya tarehe 17.12.2022 saa 09:00PM ili kumpa mwanga mwanafunzi juu ya kile alichokifanya.

Mtihani huu utaendeshwa kwa njia mtandao nikimaanisha ONLINE EXAM ili kupima maarifa ya wanafunzi kwa kutumia kifaa cha internet mfano simu, laptop na vinginevyo, bila kujali wanaishi wapi.

Mwanafunzi ataweza kujibu maswali kwa muda uliowekwa na mwalimu, Kupitia systeam hii mwanafunzi hata weza kuigilizia wala kufanya udanganyifu wowote ule utakao fanywa kipindi atakapokuwa akifanya mtihani.

Maelekezo na majaribio ya kufanya mtihani huu yanatolewa bure wakati wote kabla ya tarehe 14.12.2022. Jiandikishe sasa kwa kuwasiliana nasi kwa simu nambari 0652428842 au bonyeza link hII (Maandishi haya ya blue kujiandikisha TAIFA EXAM
 
Good idea,
ngoja niipakue nione how far you go
 
Not collections (Masahihisho)ni corrections
 
Back
Top Bottom