Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
760
Reaction score
1,875
Lakini washikaji hawataki kunielewa hapa wananiambia eti nimeacha bunduki nimechukua rungu🥲🥲🥲
1641.jpg
1638.jpg
 
. Kwa binadamu wa Kitanzania, simu zuri zaidi ni ile inayokaa na charge-umeme kwa mda mrefu kwa sababu ,

. Asilimia 95%, hawajui matumizi ya simu, zaidi zaidi ataingia tiktok - fb - WhatsApp - Instagram na porn sites baada ya hapo anamalizia na PUNYETO .. 🙂 🙂
 
Lakini washikaji hawataki kunielewa hapa wananiambia eti nimeacha bunduki nimechukua rungu🥲🥲🥲View attachment 3451057View attachment 3451058
Chaguo zuri lilikuwa Galaxy a16. Hapa ungepata Software major upgrade miaka 6.

Tatizo la hizi infinix, Tecno, nk hawafanyi software upgrade. Ina maana ukinunua simu ya Android 14 au 15...ndo imetoka hiyo huwezi pata latest android software.
 
Back
Top Bottom