Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

Nina Infinix hot 10, huu ni mwaka wa 7 nadunda nayo, nikicharge usiku, nadunda nayo kutwa nzima nakuja ku charge tena usiku....!

Kwa ajiri ya kukaa kwake na charge, najiandaa kununua Tena the latest ya Infinix....! Kuwa na simu ina Majina Makubwa hafu kuanza kutembea na charger ni usumbufu.
Kisa umekaa nayo miaka 7 unasifia kuwa inakaa na chaji, Tafuta hela hata kama utasema unazo zitakuwa za mashariti
 
Kisa umekaa nayo miaka 7 unasifia kuwa inakaa na chaji, Tafuta hela hata kama utasema unazo zitakuwa za mashariti
Katika hii miaka 7, miaka 2 nimeishi ama kwenda Nchi tofauti Kwa mishe zangu, na sikuona haja ya kununua Simu ambazo mnazipigia Chapuo hapa, nikicharge Usiku ni mpaka Usiku, Sina haja kutembea na Power bank ama Charger Mfukoni.

Pesa natafuta na napata ila Sina sababu kununua Simu mpya Kila zinapotoka...! Siku hii simu ukiacha kukaa na charge ndiyo ntafikilia kununua Simu mpya.
 
Basi hongera kuna watumiaji wa simu na watunza simu, inawezekana ww ni mtunza simu tu, kwa maana mwingine 24hrs yupo online.
Ukisema simu inatunza chaji sijui unatumia kigezo gani mfano, kupiga na kukata au nn
 
Simu yangu ni office iliyokamirika, ukiacha matumizi ya kawaida ya Simu...!

Natumia simu Kwa kazi, kazi za online, Wastani masaa 6 Kwa siku, Toka projects tofauti, nasikiliza Nyimbo, Video YouTube n.k....! Sometimes nakua polini, so nahitaji simu inayokaa na charge, kuwa na Samsung hafu baada ya masaa 6 imezima kwangu haitanisaidia.

Hata baada ya hii my next phone itakua Infinix pia, ntatafuta the latest inayokaa na charge.
 
Niliwahi kushika simu mbili mkononi, infinix hot 30 sijui 60 na samsung a14 au 15. Mkuu ile samsung ilikuwa inakaa na chaji balaa kuliko hata ile infinix.

Pia niliipenda Samsung sababu software yake ni clean, very smart. Haina ujinga ujinga mwingi na apps za ajabu zisizo na maana kama infinix.

So zipo Samsung pia zinazokaa na chaji sawa na infinix na yamkini kuizidi infinix.

Last year Bi mkubwa nilimchukulia Samsung a16, alikuwa anatumia infinix, amesema hii ile a16 ni nzuri na anaifurahia vyema kuliko ile infinix aliyokuwa anatumia na chaji zinakaa sawa tu.
 
Sio kweli ila inategemea ni Infinix au Tecno gani, halafu una data outdated
Ila Infinix hot 60 pro ni zaidi ya Samsung Galaxy A16
Kifupi infinix na samsung ni mbingu na ardhi kwenye tech, ila kimuonekano unaweza kusema zipo sawa.
 
. Kwa binadamu wa Kitanzania, simu zuri zaidi ni ile inayokaa na charge-umeme kwa mda mrefu kwa sababu ,

. Asilimia 95%, hawajui matumizi ya simu, zaidi zaidi ataingia tiktok - fb - WhatsApp - Instagram na porn sites baada ya hapo anamalizia na PUNYETO .. 🙂 🙂
*****
 
Mimi nilikua nayo Ao5s ilikua inastuck kama simu zingine tu za kawaida kwani hizo simu zote ni made in China tu kwahivyo wewe mwenye Infinix tamba tu Wala usisikilize maneno ya watu,ni vile huyo Samsung ni mkongwe na alijibrand wa kwanza lakini wote ni made in china hakuna made in USA hapo.
 
Back
Top Bottom