TheGreatASA
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 302
- 393
Kwanini ununue s10+, simu ya zaidi ya miaka 6 iliyopita...🤔Yeah s series bado zipo s10+ anzia hapo ukitaka kununua Samsung s series
Kwanini ununue s10+, simu ya zaidi ya miaka 6 iliyopita...🤔Yeah s series bado zipo s10+ anzia hapo ukitaka kununua Samsung s series
Kama una budget sio chini ya 1M nunua samsung a56. Ya mwaka huuDuh which is which
Mi Niko dilemma ila sitaki infinx
Labda kama A10 series. Ila A50 series ukaifananishe na infinix kweli 😄😄😄
Asante sn ngoja nitafute hii naona 300-400 hapo SI ndioYeah s series bado zipo s10+ anzia hapo ukitaka kununua Samsung s series
Weee mwisho laki 4 🤣sivuki hapo su laki 5 hapo mwisho km nitakua nimeelewa sn cmKama una budget sio chini ya 1M nunua samsung a56. Ya mwaka huu
Duh Asante Kwa taarifaWanadai hivyo mtumishi
Samsung ni brand bora zaid ila izo simu zinafanana uwezo.Duh Infinix sitaki ht kuisikia
Ina stuck balaa
Jmn SS km na A serious wanasema ni yale yake duh
Zaidi ya matumizi hayo na kupiga picha na simu na kutuma sms, yapi ni matumizi mengine ambayo ni special?. Kwa binadamu wa Kitanzania, simu zuri zaidi ni ile inayokaa na charge-umeme kwa mda mrefu kwa sababu ,
. Asilimia 95%, hawajui matumizi ya simu, zaidi zaidi ataingia tiktok - fb - WhatsApp - Instagram na porn sites baada ya hapo anamalizia na PUNYETO .. 🙂 🙂
Inadepend na kipato cha mtu mfano mim natumia Samsung z fold million 1.5 Ni 🔥🔥🔥🔥 nafunua tu kama kitabu aiseeeeeee tafuteni hela kuna simu kali kinyaaaama mtaacha kuangaika na ma infinix hayo.....Kwanini ununue s10+, simu ya zaidi ya miaka 6 iliyopita...🤔
Sio kweli ila inategemea ni Infinix au Tecno gani, halafu una data outdatedChaguo zuri lilikuwa Galaxy a16. Hapa ungepata Software major upgrade miaka 6.
Tatizo la hizi infinix, Tecno, nk hawafanyi software upgrade. Ina maana ukinunua simu ya Android 14 au 15...ndo imetoka hiyo huwezi pata latest android software.
Yaani kama Infinix na Samsung zinabei sawa na zote ni mpya basi Infinix ina uwezo kuliko hiyo SamsungBei ya A50s series ni around milioni moja.. sasa hapo unapaswa ushindanishe na simu ya Infinix inayouzwa milioni moja pia.
Kama jamaa alivyofanya hapa. Kataja samsung ya laki 4. Kisha kashindanisha na infinix ya laki 4
Umejuaje huwa wanaingia porn site kama wewe sio mmoja wao. Kwa binadamu wa Kitanzania, simu zuri zaidi ni ile inayokaa na charge-umeme kwa mda mrefu kwa sababu ,
. Asilimia 95%, hawajui matumizi ya simu, zaidi zaidi ataingia tiktok - fb - WhatsApp - Instagram na porn sites baada ya hapo anamalizia na PUNYETO .. 🙂 🙂
Hizo simu ni equivalent processor moja, oled display na ufs storage so day to day matumizi yatakua sawa.Lakini washikaji hawataki kunielewa hapa wananiambia eti nimeacha bunduki nimechukua rungu🥲🥲🥲View attachment 3451057View attachment 3451058
Basi hapo bora utafute tecno. Naonaga kama ni nzuri kulinganisha na kina infinix😃😃Weee mwisho laki 4 🤣sivuki hapo
Kwani hii A56 ni sh ngapi?