Reptilia
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 875
- 860
duh eti kidevu kikubwa hahaha lakn we jombiii so pwBora simu mpya uanze kuibikiri mwenyewe hata kama ni A series sio mbaya ila kwa budget hiyo ya 400k tarajia A16 mimi pia ningechukua A16 sema muonekano wake umekaa kiloko sana kwa mwaka 2025 simu yenye kidevu kikubwa yanini