G
guest-1790917349
Guest
Mmh S? So A ndo mpya?Hizo ni used sio simu mpya.
Zilivyotaoaa hivi ht sielewi fake na og ni ipi? Mmhm kazi ipo ,A no thank you
Acha nitulie
Mmh S? So A ndo mpya?Hizo ni used sio simu mpya.
Noma sn , AsanteSamsung A series ni za kawaida sana Wala usitishike na hiyo brand name, hiyo Infinix inaweza kuwa Bora zaidi
Infinix Kila baada ya 3 month wanatoa cmSamsung A series ni za kawaida sana Wala usitishike na hiyo brand name, hiyo Infinix inaweza kuwa Bora zaidi
Ubaya wa Samsung ikiharibika kioo imekula kwako. Nina Note 10+ imepasuka kioo chake dukani unajipatia infinix mpya au tecno. Imebaki ndani kama pambo tuu.Khaaaa hapana nitanunua tu Samsung ht ya laki 4- 5 nitaipata
Tecno nao hamna kitu labda
Note lkn sitaki
hili jibu la AI lina makosa, samsung a16 inatumia chip ya mediatek helio g99 na sio exynos 13, pia hot 60 pro kioo chake ni amoled na sio lcd, pia kioo chake ni cha amoled sio lcd, pia hot 60 pro ina prokteta gorilla glass 7i, na chaji yake inapeleka umeme wa wati 45 ni kubwa kuliko samsung a16, kwa kifupi infinix hot 60 pro ni nzuri kuliko samsung a16The Samsung A16 offers significantly better performance, display quality, and overall user experience than the Infinix Hot 60 Pro, despite the Hot 60 Pro's higher refresh rate display and faster charging, which are unlikely to overcome the A16's superior processor and other features. The A16's Exynos 1330 processor is more capable than the Helio G200 in the Hot 60 Pro, and its AMOLED display is a significant upgrade from the Hot 60 Pro's likely LCD, leading to better visuals.
Samsung A16 Advantages
Infinix Hot 60 Pro Advantages
- Superior Performance:
The A16 uses a more capable Exynos 1330 processor, providing a smoother and more responsive user experience compared to the Helio G200 in the Hot 60 Pro.
- Better Display Quality:
The A16 likely features a superior AMOLED display, which offers better color reproduction, brightness, and contrast than the Hot 60 Pro's typical LCD screen.
- More Refined Experience:
Samsung generally offers a more polished and optimized software experience, even on its entry-level models.
Key Differences
- High Refresh Rate Display:
The Hot 60 Pro boasts a 144 Hz display, which provides incredibly smooth scrolling and animations, although its overall display quality is likely lower than the A16.
- Faster Charging:
Infinix devices often come with faster charging capabilities, which is a significant plus for quick power-ups.
- Potentially Better Battery:
While not a guarantee, Infinix models frequently include larger battery capacities (5000-6000mAh) compared to Samsung's budget models.
- Processor: Exynos 1330 (A16) vs. Helio G200 (Hot 60 Pro)
- Display Type: AMOLED (A16) vs. likely LCD (Hot 60 Pro)
- Overall Value: While the Hot 60 Pro offers features like a 144Hz display for its price, the A16 provides a more balanced and superior overall package for users prioritizing performance and display quality.
KUTOKA GOOGLE
Asante,naelewa kioo ni issue ninayo pia iliyokuga kioo,nikasema niende Infinix, aise ilivyoanza ku stuck ni kazi ya ku flash tu mpk nimechoka ndo maana staki tena..Ubaya wa Samsung ikiharibika kioo imekula kwako. Nina Note 10+ imepasuka kioo chake dukani unajipatia infinix mpya au tecno. Imebaki ndani kama pambo tuu.
Kama unataka Note series naona Note 10+ haina kelele sana zinazofwata juu yake hizo 20 hakuna jipya la zaidi
Duh utanunua hiyo hot 60 Leo,baada ya mwaka Iko hot 80 uliyonsyo inaanza ku stuckhili jibu la AI lina makosa, samsung a16 inatumia chip ya mediatek helio g99 na sio exynos 13, pia hot 60 pro kioo chake ni amoled na sio lcd, pia kioo chake ni cha amoled sio lcd, pia hot 60 pro ina prokteta gorilla glass 7i, na chaji yake inapeleka umeme wa wati 45 ni kubwa kuliko samsung a16, kwa kifupi infinix hot 60 pro ni nzuri kuliko samsung a16
Kama unataka A nunua ya 50 series. Hiyo ni nzuri. Mimi natumia hiyo series ya 50. Tangu A50 mpaka leo A56. Ni simu nzuri hazina shida wala huwezi fananisha na hizo shida za kampuni nyingineMmh S? So A ndo mpya?
Zilivyotaoaa hivi ht sielewi fake na og ni ipi? Mmhm kazi ipo ,A no thank you
Acha nitulie
OkayKama unataka A nunua ya 50 series. Hiyo ni nzuri. Mimi natumia hiyo series ya 50. Tangu A50 mpaka leo A56. Ni simu nzuri hazina shida wala huwezi fananisha na hizo shida za kampuni nyingine
NimechekaBora usingekuja hapo JF kuomba ushauri, kuna wajuaji mnoo, utaichukia hiyo simu ngoja uone, na anaekushauri utakuta anatumia simu ya elfu80 za Kwa zahoto matelephone
GT 7 pro bei itakua juu, ila GT 7 ina tick battery na camera. Pia ina esim unaweza weka line zaidi ya 2 ila 2 zinatumika kwa pamoja.Dhumuni kuu ni TOP BEST CAMERA na LONG BATTERY LIFE+ ESIM
na kibongo bongo naona 13r inacheza kwenye 1.2m tsh
Naona oia real me GT 7 pro ni simu Kali Sana Kwa bei ya 1.4m
Makubwa kumbe AI ni ujinga kabisa HATA sikujia nimekopy na pastehili jibu la AI lina makosa, samsung a16 inatumia chip ya mediatek helio g99 na sio exynos 13, pia hot 60 pro kioo chake ni amoled na sio lcd, pia kioo chake ni cha amoled sio lcd, pia hot 60 pro ina prokteta gorilla glass 7i, na chaji yake inapeleka umeme wa wati 45 ni kubwa kuliko samsung a16, kwa kifupi infinix hot 60 pro ni nzuri kuliko samsung a16
Hakutakiwa kuja huku na alishanunua Leo kashajihakikishia kushindia na stressNimecheka
Aliyeweka hii mada hakuna anaomba ushauri ye alishanunua
Ni bora ungechukua Note 40 pro+ plus iko vizuri.Lakini washikaji hawataki kunielewa hapa wananiambia eti nimeacha bunduki nimechukua rungu🥲🥲🥲View attachment 3451057View attachment 3451058
🤣🤣🤣Hakutakiwa kuja huku na alishanunua Leo kashajihakikishia kushindia na stress
Iko sawa na note 60 Infinix?🤣🤣Acheni kufananisha sumsung na vitu vya kijinga ... mi natumia A15 yenye Android upgrade na space nzuri tu