Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

Kama unataka A nunua ya 50 series. Hiyo ni nzuri. Mimi natumia hiyo series ya 50. Tangu A50 mpaka leo A56. Ni simu nzuri hazina shida wala huwezi fananisha na hizo shida za kampuni nyingine

Umwambie pia Samsung A56 bei yake kwa sasa ni milioni moja na laki kazaa
 
. Kwa binadamu wa Kitanzania, simu zuri zaidi ni ile inayokaa na charge-umeme kwa mda mrefu kwa sababu ,

. Asilimia 95%, hawajui matumizi ya simu, zaidi zaidi ataingia tiktok - fb - WhatsApp - Instagram na porn sites baada ya hapo anamalizia na PUNYETO .. 🙂 🙂
Wa kike nao wana punyeto
 
Sema kwa hiyo bei Google Pixel 6a, 6 na 7 used unapata kwanini ulichukua hiyo. Nimeona sehemu hata Note 20 Ultra unapata.

Nakutana tu na hizo ads unaweza kucheki kuhakikisha kuwa ziko kwenye condition mzuri na ni OG.

Narudia tena sina experience ya kununua kwake ila kama ningekuwa na mpango wa kuchukua simu kwa hiyo budget ningecheki haya mazaga. Jambo la muhimu ni kuhakikisha ni fake na hazina shida yoyote ya kioo.
IMG_0895.jpeg
 
Duh utanunua hiyo hot 60 Leo,baada ya mwaka Iko hot 80 uliyonsyo inaanza ku stuck
Innix Kila baada ya 3 month wanatoa
sijui kama infinix wanatoa simu kila baada ya miezi mitatu, ninachojua matoleo ya smart, hot, na note hutoka kila baada ya mwaka fuatilia utaona. swala la simu kuganda ganda inategemea na mfumo wa memori, prosesa na ukubwa wa ram. mifumo ufs, na ram ya kubwa ya gb 8 inasaidia maana android hutumia ram nyingi kutokana background tasks kuwa nyingi pia. hot 60 pro ina gb 8 na mfumo wa memori ya UFS, japo prosesa yake ina utendaji wa wastani si mkubwa
 
Ndo ninakwambia SS, Infinix hawakai mwaka ,mi nimeinunua hot 12 mwaka juzi sshv Kuna hot 60 within 2 yrs..12-60 unaweza ukaona hapo wanatoa Kila baada ya muda Gani cm,kawaida Kwa infinix sio km iphone na Samsung
Na sio Mimi tu ku stuck wengi wanapata hii shida ,unaambiwa at least za sshv , latest....
 
Ubaya wa Samsung ikiharibika kioo imekula kwako. Nina Note 10+ imepasuka kioo chake dukani unajipatia infinix mpya au tecno. Imebaki ndani kama pambo tuu.

Kama unataka Note series naona Note 10+ haina kelele sana zinazofwata juu yake hizo 20 hakuna jipya la zaidi
ni kwasababu wanatumia vioo vya high quality
 
Nina samsung A21s ya 2020 ipo na ukali wake ule ule wala haistack lakini nfinix ya juzi mwaka jana smart 8 leo linastack na lipo slow balaaa

Usilinganishe upuuzi na SIMU
Asante nimemwambia mtu hapa Infinix Ina stuck Sina hamu
Sitaki
Cm nimeinunua mwaka juzi July hot 12 Leo Kuna hot 60🤣 within 2 yrs
Lzm izingue tu matoleo hayo atanunua nani
 
Asante nimemwambia mtu hapa Infinix Ina stuck Sina hamu
Sitaki
Cm nimeinunua mwaka juzi July hot 12 Leo Kuna hot 60🤣 within 2 yrs
Lzm izingue tu matoleo hayo atanunua nani

Shida sio jina la simu. Bali shida ni bei ya simu hiyo.

Ukinunua samsung ya laki 2. Ama 3 nayo inaganda pia.. na ukinunua infinix ya milioni ama laki nane. Huwezi kukuta inaganda ganda.

Anaewatengenezea chipset yaani ubongo wa simu za Samsung za A series Ndie huyo huyo anaewatengenezea ubongo kwenye simu za Infinix .

Anaitwa MEDIATEK.

hivyo kuganda kwa simu sio jina la simu. Bali ni bei ya simu kutokana na chipset iliyowekwa.

Usitegemee kupata quality kwa bei Cheap kwa sababu ya jina la simu.

Mfano mimi natumia samsung A35 inayouzwa laki 7. Yenyewe pia ina chipset ya mediatek sawa sawa na simu za infinix zinazouzwa laki 7
 
mkuu nina samsung A21s ya 2020 nilinunua lak 2 na 80 ipo mpaka leo na ukali wake ule ule haijawai stack hata siku moja ila kuna infinix hapa kutoa lock tu unasubiri nusu dakika ndo inafika home screen

Sema simu yako hiyo A21s ina chipset gani?

Kama manufacture wa chipset ya hiyo samsung A21s sio MEDIATEK nipigwe ban?
 
Shida sio jina la simu. Bali shida ni bei ya simu hiyo.

Ukinunua samsung ya laki 2. Ama 3 nayo inaganda pia.. na ukinunua infinix ya milioni ama laki nane. Huwezi kukuta inaganda ganda.

Anaewatengenezea chipset yaani ubongo wa simu za Samsung za A series Ndie huyo huyo anaewatengenezea ubongo kwenye simu za Infinix .

Anaitwa MEDIATEK.

hivyo kuganda kwa simu sio jina la simu. Bali ni bei ya simu kutokana na chipset iliyowekwa.

Usitegemee kupata quality kwa bei Cheap.

Mfano mimi natumia samsung A35 inayouzwa laki 7. Yenyewe pia ina chipset ya mediatek sawa sawa na simu za infinix zinazouzwa laki 7
Sawa, Asante
Acha nipate s series kuanzia 10+sio mbaya
 
Asante nimemwambia mtu hapa Infinix Ina stuck Sina hamu
Sitaki
Cm nimeinunua mwaka juzi July hot 12 Leo Kuna hot 60🤣 within 2 yrs
Lzm izingue tu matoleo hayo atanunua nani
We ndio ulichelewa nunua simu,
Infinix hot 12 ilitoka 2022 na baada ya hiyo Infinix alienda kwa kumi kumi means 20,30 up to 60
 
Back
Top Bottom