BLACK_
JF-Expert Member
- Apr 2, 2020
- 1,885
- 4,193
Hii ratiba mbona umemention vizuri sana inaonesha wewe pia unatumia hiyo ratiba au uliwahi tumia suo bure. Kwa binadamu wa Kitanzania, simu zuri zaidi ni ile inayokaa na charge-umeme kwa mda mrefu kwa sababu ,
. Asilimia 95%, hawajui matumizi ya simu, zaidi zaidi ataingia tiktok - fb - WhatsApp - Instagram na porn sites baada ya hapo anamalizia na PUNYETO .. 🙂 🙂