Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,895
- 2,540
Dada kuwa makini, utauziwa famba. Ni bora hiyo laki 4 ununue A series mpya.Asante sn ngoja nitafute hii naona 300-400 hapo SI ndio
Dada kuwa makini, utauziwa famba. Ni bora hiyo laki 4 ununue A series mpya.Asante sn ngoja nitafute hii naona 300-400 hapo SI ndio
kioo hakishuki bei kwa sababu kioo hakinaga kupungua quality mfano kioo cha OLED ni ghali sanaa.Yaani vioo vyao ni hasara kikipasuka. Nimebaki na simu mpya kama kopo tuu na ubaya havishuki bei mpaka mtu unaona bora ununue simu nyingine tuu.
Mkuu kwa Budget ya 4k napata flagship ipi ya zamani ?Hizo simu ni equivalent processor moja, oled display na ufs storage so day to day matumizi yatakua sawa.
Ila Samsung wana warranty nzuri zaidi na bei ni rahisi. A16 ni kama 330-350 hivi.
Mkuu kwa Budget ya 4k napata flagship ipi ya zamani ?Japo zote ni low end phones ila bora A16 5G tu, ina kamera 3 (Main+ Ultrawide+ Macro) kwa hiyo ni reliable kwenye situation nyingi. Hiyo Infinix ina kamera moja tu ambayo ni main, halafu hizo nyingine mbili sio kamera ni mapambo, sijui kwa nini wanafanya hivi. Maana yake hiyo Infinix haiwezi kupiga ultrawide wala macro shots
Processor zinafanana uwezo tu ila A16 ina pure One UI ambayo nk software nzuri kuliko ya Infinix na inapokea update miaka mingi kuliko hiyo Infinix
Hiyo A16 unaweza kuweka memory card, kwenye Infinix Hot 60 Pro+ huwezi.
Infinix kama kawaida yao, kutengeneza visimu vibaya unashindwa hata kupiga ultrawide photos eti kisa tu ni simu ya bei rahisi? Hata Samsung na ukubwa wake wote huo hawafanyi huo upuuzi
4k unamaanisha laki 4? Inategemea unataka nini kwenye simu.Mkuu kwa Budget ya 4k napata flagship ipi ya zamani ?
Asante Chief unaweza kunipa Conection ya duka wanaouza S 20FE Orignal nisipigwe clone..4k unamaanisha laki 4? Inategemea unataka nini kwenye simu.
Kama ni Camera na matumizi ya kawaida Aquos R7 ni nzuri, ni ya karibuni, sensor inch 1 ya camera, clean software sema inatumia snapdragon 8 gen 1 ambayo ina tabia ya kupata joto.
All around simu inayo tick mambo mengi ni Samsung S20FE kuanzia ukaaji chaji, kioo kizuri, camera nzuri etc
Kama unataka kucheza games na simu yenye nguvu sana kwa bei rahisi Xiaomi redmi note 12 turbo ya kuagizishia nje, kwa hio budget hadi version ya 16GB na 1TB storage unapata.
Bora we ,Kuna mtu kasema eti km itel nisithubutu ila mi nimeipenda kuanzia muonekanoAquous kinanda sana..natumia Aquous r7..
Asante ndo maana ninetulia tu naogopa kupigwaDada kuwa makini, utauziwa famba. Ni bora hiyo laki 4 ununue A series mpya.
Sawainfinix hot 12 ilitoka 2022 mwaka pia iliyoka hot 20, 2023 ilitoka hot 30 na hot 40, 2024 ilitoka hot 50 na 2025 hot 60 bado sijaona uwezekano wa kutoa simu kila baada ya miezi mitatu. Na kama hiyo simu ilikuwa inastuck siwezi kushangaa hiyo simu ni dhaifu kiutendaji na ina mapungufu mengi(inferior hardwares), huwezi linganisha na hot 60 pro kuna gepu kubwa
AsanteKwa Samsung S na N series usinunue zile unaenda dukani unazikuta zimepangwa zikiwa na stika. Ukiipata isikusumbue ni nadra sana. Ukinunua Samsung S na N series ikiwa kwenye box mpya(refurbished) itakuepusha kuuziwa simu yenye kioo kibovu au iliyobadilishwa kioo ambayo huuzwa kwa jina la used Dubai kwenye maduka ya sim used hasa kariakoo.
Za laki 2-3 nyingi mkopo wanachukua watu😁😁Ukishaona Samsung yako inatolewa kwa mkopo halafu unalipa kidogo kidogo basi usimcheke mwenye Tecno😇
Kiukweli sikuwa najua hii brand ndo nimeona juzi kati nikaipenda ila naona sio common sn huku kwetu km iphone na Samsung,Infinix,Tecno.....Natumia aquous zero 6 5G natamani kubadilisha simu ila sijaona ya kui compete kwa simu za grade yake tena za kisasa, kwanza refresh rate 120 na kuendelea kitu ambacho sijaona kwenye simu nyingi hata kwa baadhi ya matoleo mapya, na kitakacho nifanya ni badilishe hii simu ni android version tu na si kingine! Bora niende xiaomi
Mkuu ulichukua kwa bei gani ?Aquous kinanda sana..natumia Aquous r7..
Ni kweli mkuu
Hapana bhana ..Mimi nina miezi 6 sasa..Ram 12GB.. storage 256GB..Mimi matumizi makubwa ni mobile games..Bora we ,Kuna mtu kasema eti km itel nisithubutu ila mi nimeipenda kuanzia muonekano
Unatimia Kwa muda Gani SS? Haistuch?
350k February..now mpaka 300k unapata...Mkuu ulichukua kwa bei gani ?
Okay, AsanteHapana bhana ..Mimi nina miezi 6 sasa..Ram 12GB.. storage 256GB..Mimi matumizi makubwa ni mobile games..
Ndio mimi nimekupa hiyo feed back ulio taka! Hii simu imezidiwa na ANDOIR VERSIO na BATTERY tu, ukilinganisha na simu nyingi matoleo ya sasa!, ila tofauti na vigezo hivyo, hakuna simu ya level yake unaweza fanananishana nayoKiukweli sikuwa najua hii brand ndo nimeona juzi kati nikaipenda ila naona sio common sn huku kwetu km iphone na Samsung,Infinix,Tecno.....
So kupata anaeifaham akakupa feedback ni ngumu pia