Kayoka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 2,408
- 2,282
Yangu niliagiza kutoka Kariakoo pale kwa NjiwaFlow, bei ni 1.1M tu.Umwambie pia Samsung A56 bei yake kwa sasa ni milioni moja na laki kazaa
Yangu niliagiza kutoka Kariakoo pale kwa NjiwaFlow, bei ni 1.1M tu.Umwambie pia Samsung A56 bei yake kwa sasa ni milioni moja na laki kazaa
Kwenye latest software unapata ulinzi zaidi wa simu yako dhidi ya hackers ambao wanakesha kutafuta namna ya ku hack na kuiba tarifa zako na pia unapata features mpya ambazo hazikuwepo katika toleo lililopita.Kwenye latest Huwa mnapata Nini hasa ambacho kinafanya hardware iwe Bora zaidi?
Haina shida ni mbwembwe tu za kimatumbi bwasheeHivi techno imewakosea nini jamani
Aquous kinanda sana..natumia Aquous r7..Jmn anaejua Aquos phone zikoje ,au km infinix tu?
Ktk matumizi ya simu Yako tangu umeanza Hadi Leo umewah kumbana na kisanga Cha hackers kuiba data zako? Nipo na simu ya 2021 hapa napasua anga bila wasiwasi betri limesimma na performance yake haitofautiani na hizi simu mnazo ita za kisasa Yani linawahi kujaa na linachelewa kuisha. 6.7inch 5000mah halafu ni mchina 😁😁😁Kwenye latest software unapata ulinzi zaidi wa simu yako dhidi ya hackers ambao wanakesha kutafuta namna ya ku hack na kuiba tarifa zako na pia unapata features mpya ambazo hazikuwepo katika toleo lililopita.
Ukiachana na features updates, kutumia simu isiyopata security updates ni hatari kwa usalama wako. 🤔
Kama kioo cha Note 10+ original kabisa ni 300 -350k. Halafu Note 10+ used pale china plaza unaipata kwa bei hiyo hiyo 350 -400k.Sasa unanunua simu ya bei ipi? Km zaidi ya hicho kioo, si bora ununue kioo tyuuh.?
Ila wewe jamaa..🤓🤏. Kwa binadamu wa Kitanzania, simu zuri zaidi ni ile inayokaa na charge-umeme kwa mda mrefu kwa sababu ,
. Asilimia 95%, hawajui matumizi ya simu, zaidi zaidi ataingia tiktok - fb - WhatsApp - Instagram na porn sites baada ya hapo anamalizia na PUNYETO .. 🙂 🙂
Ni bora nibaki na hizi simu zetu za uniform..😂😂😂😂😂Kwanini ununue s10+, simu ya zaidi ya miaka 6 iliyopita...🤔
Ni kweli mkuuInfinix response ni shida sana kwenye touch.
Hata A32 tu haiwezi kuwa sawa na infinix.Labda kama A10 series. Ila A50 series ukaifananishe na infinix kweli 😄😄😄
ZIpo A ni nzuri sana sana mkuu. Achana na huyo jamaa miyeyusho.Duh Infinix sitaki ht kuisikia
Ina stuck balaa
Jmn SS km na A serious wanasema ni yale yake duh
UongoKumbe? Nazo zina stuck?
Umewahi tumia pixel 6 hivi? Basi zipo kama Aquos. Android yake inaboa. To be honest, Samsung kwenye android wako mbali sana.Jmn anaejua Aquos phone zikoje ,au km infinix tu?
Dah, ha ha ha dharau hizi sasa.Sio kweli ila inategemea ni Infinix au Tecno gani, halafu una data outdated
Ila Infinix hot 60 pro ni zaidi ya Samsung Galaxy A16
Bora ununue kioo, kwa mtazamo wangu lakinii.Kama kioo cha Note 10+ original kabisa ni 300 -350k. Halafu Note 10+ used pale china plaza unaipata kwa bei hiyo hiyo 350 -400k.
Yeah hapo ndiyo pakiwa makini usipigwe.SS kwenye kujua og na fake🙌
sijui ila simu fake na simu OG kuna namna ya kuangaliaDuh A ni nyingi mpk noma
Ht huelewi og na fake au zote ni za ukweli?
Kwa Samsung S na N series usinunue zile unaenda dukani unazikuta zimepangwa zikiwa na stika. Ukiipata isikusumbue ni nadra sana. Ukinunua Samsung S na N series ikiwa kwenye box mpya(refurbished) itakuepusha kuuziwa simu yenye kioo kibovu au iliyobadilishwa kioo ambayo huuzwa kwa jina la used Dubai kwenye maduka ya sim used hasa kariakoo.Mmh S? So A ndo mpya?
Zilivyotaoaa hivi ht sielewi fake na og ni ipi? Mmhm kazi ipo ,A no thank you
Acha nitulie
infinix hot 12 ilitoka 2022 mwaka pia iliyoka hot 20, 2023 ilitoka hot 30 na hot 40, 2024 ilitoka hot 50 na 2025 hot 60 bado sijaona uwezekano wa kutoa simu kila baada ya miezi mitatu. Na kama hiyo simu ilikuwa inastuck siwezi kushangaa hiyo simu ni dhaifu kiutendaji na ina mapungufu mengi(inferior hardwares), huwezi linganisha na hot 60 pro kuna gepu kubwaNdo ninakilhot auwezekan mwaka ,mi nimeinunua hot 12 mwaka juzi sshv Kuna hot 60 within 2 yrs..12-60 unaweza ukaona hapo wanatoa Kila baada ya muda Gani cm,kawaida Kwa infinix sio km iphone na Samsung
Na sio Mimi tu ku stuck wengi wanapata hii shida ,unaambiwa at least za sshv , latest....