hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Asee
AsanteNdio mimi nimekupa hiyo feed back ulio taka! Hii simu imezidiwa na ANDOIR VERSIO na BATTERY tu, ukilinganisha na simu nyingi matoleo ya sasa!, ila tofauti na vigezo hivyo, hakuna simu ya level yake unaweza fanananishana nayo
Kuna watu wanazisifia Infinix humuNi afadhali ungechukua hata xperia 10iv kwa 300000
Hapo umeliwa ndugu
Shukrani Mkuu ningependa pia unipe location ya Duka uliponunulia..350k February..now mpaka 300k unapata...
Simu ya kwenye box inakuwa kama mpya kabisa japo ni refurbished.Asante
Ht hivyo huwa nanunua mpya kwenye box labda napo wanipige Kwa kuweka kwenye box😁
Duh so ndo kusema tununue za Dubai , maana hizo hazipo kwenye boxSimu ya kwenye box inakuwa kama mpya kabisa japo ni refurbished.
Simu ina kidevuBora simu mpya uanze kuibikiri mwenyewe hata kama ni A series sio mbaya ila kwa budget hiyo ya 400k tarajia A16 mimi pia ningechukua A16 sema muonekano wake umekaa kiloko sana kwa mwaka 2025 simu yenye kidevu kikubwa yanini
Kwenye kupigwa ndo balaa hapaAsante Chief unaweza kunipa Conection ya duka wanaouza S 20FE Orignal nisipigwe clone..
🤣🤣🤣Haina shida ni mbwembwe tu za kimatumbi bwashee
HahaaUnawasikiliza washikaji, au malengo yako? We ishi nayo tu mkuu, mbona ipo sawa. Infinix naiheshimu sana kwenye betry (charge), na screen.
Umewahi kutumia A series gani? Au unajua kuwa kuna A05, A12 na A16!!!Samsung A series hazina utofauti na infinix.
Poco zinapokea updates ila ni miaka michache mara nyingi ni only 3 yearsKuna simu za Xiaomi zinaitwa Poco.
Mimi nilinunua Poco F3 NFC, specs nzuri hata build iko poa lakini hizi simu nje na brands tunazozijua zina changamoto kwamba hautapata upgrade ya Android.
Sasa ikanizingua touch ikawa inajitouch, imebidi niiache nirudi kwenye tecno kipindi najichanga kuchukua simu nyingine. Na nimeazimia simu nyingine iwe A56 5G nimeona itapokea updates karibia miaka 7.
Wakati hii poco nimetumia kwa miaka 3 ikiwa na Android ile ile wakati wenye android yao wanatoa update
Yangu ilipokea mara moja tuPoco zinapokea updates ila ni miaka michache mara nyingi ni only 3 years
😂😂😂Ht A26,36 ni nzuriUm
Umewahi kutumia A series gani? Au unajua kuwa kuna A05, A12 na A16!!!
Zipo Infinix zinazoweza kuwa mbadala wa Samsung A series kadhaa ila siyo A series zote.
Yaani A56 yenye Amoled, frame ya aluminum, kioo Cha gorilla n.k ulinganishe na hiko ki-infinix.
Nimeona hiyo 26 Kwa 580,A36 Kwa 680🙌Fikisha 700k ukamate A36 hauta jutia kwenye maisha yako labda uibiwe