Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,360
Sahihi kabisa aya mambo tunayajuwa sisi wachache tunao juwa simuhili jibu la AI lina makosa, samsung a16 inatumia chip ya mediatek helio g99 na sio exynos 13, pia hot 60 pro kioo chake ni amoled na sio lcd, pia kioo chake ni cha amoled sio lcd, pia hot 60 pro ina prokteta gorilla glass 7i, na chaji yake inapeleka umeme wa wati 45 ni kubwa kuliko samsung a16, kwa kifupi infinix hot 60 pro ni nzuri kuliko samsung a16
Infinix hot 60 pro ni Bora kuliko Samsung a series nyingi .