Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

Hatimae aquos zero 6 5G imekubali kupokea android version 13, sii badilishi mpaka HOT 60 PRO + inifikie
 
Lakini washikaji hawataki kunielewa hapa wananiambia eti nimeacha bunduki nimechukua rungu🥲🥲
Samsung A series ni za kawaida sana Wala usitishike na hiyo brand name, hiyo Infinix inaweza kuwa Bora zaidi
Sio inaweza bali infinix hot 60 ni Bora sana kuanzia perfomance, spidi mpaka camera hiyo ni unyama kabisa hapo nimemnyooshea mikono kmmke 🔥
 
Samsung ni Samsung kaka hatya ingekuwa Duocore II haiwezi lingana na Infinix hata Hot 1000
Mkuu utakuwa Bado aujui simu nakwambia Mimi siongelei ushabiki Samsung Kali ni note series na s series ila hizi a series nyingi zinazidiwa na Tecno na infinix
 
Mkuu utakuwa Bado aujui simu nakwambia Mimi siongelei ushabiki Samsung Kali ni note series na s series ila hizi a series nyingi zinazidiwa na Tecno na infinix
Infinix zina stuck sana ,infinix ni Tecno iliyochangamka ,Itel ndiyo Tecno ya bei ya jioni.

Samsung Baba lao...Samsung ni mkataba.
 
Hizo zinafanana specs... Ila samsung android yake itakuwa updated zaid ya infinix.
Hazifanani infinix hiyo ni Bora zaidi kwa Kila kitu kuanzia perfomance,sipidi mpaka camera🔥. Samsung a series anacho mzidi infinix hot 60 ni ndroid update ya haraka bhasi.
 
. Kwa binadamu wa Kitanzania, simu zuri zaidi ni ile inayokaa na charge-umeme kwa mda mrefu kwa sababu ,

. Asilimia 95%, hawajui matumizi ya simu, zaidi zaidi ataingia tiktok - fb - WhatsApp - Instagram na porn sites baada ya hapo anamalizia na PUNYETO .. 🙂 🙂
Haya njoo kwenye point simu gani Bora ?
 
Labda kama A10 series. Ila A50 series ukaifananishe na infinix kweli 😄😄😄
Ewaaaah ndio hivyo kabisa kwa tunao juwa simu infinix hot 60 pro + inazidi a series nyingi sana ni simu nzuri sana kwa bei hiyo binafsi hata Mimi ningefanya chaguzi kama ya jamaa hapo ,

Hiyo infinix ni nzuri sana kuanzia perfomance, sipidi Hadi camera 🔥
Anae chukuwa Samsung a 14 anaacha infinix hot 60 uyo ajui simu kabisa.
 
Back
Top Bottom