Nimechagua kumchukia Zitto Kabwe kutokana na kuwa na chuki na Hayati Magufuli

Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

View attachment 2215113
Huwezi kujua ugumu wa maisha unaoyokana na mikopo umiza ya jiwe,sababu unaishi kwa shemeji yako ana kulaza sebuleni.
 
Mimi siangalii mtu, naangalia hoja.

Sijapenda Zitto alivyosema wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato.

Hapo alichemka.

Lakini naweza kumtetea akisema rais Magufuli alikopa sana, kitu ambacho ni kweli.

Tatizo tunaangalia mtu kuliko hoja.

Hii kauli ya Zitto ni mipasho ya mtaani ambayo haifai kutamkwa na kiongozi wa hadhi yake.
 
Mimi siangalii mtu, naangalia hoja.

Sijapenda Zitto alivyosema wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato.

Hapo alichemka.

Lakini naweza kumtetea akisema rais Magufuli alikopa sana, kitu ambacho ni kweli.

Tatizo tunaangalia mtu kuliko hoja.

Asikope ili iweje wakati anajua anakusanya kodi vyema na itarudi…huo ujinga mnaoaminishwa kwamba Tanzania ni maskini mtakaa hapo hapo….eti miradi mikubwa haitekelezeki kisa mmeshaimbiwa nyie ni maskini mmezoeshwa kujengewa mpaka vyoo vya mashuleni….mambo mazuri nyie kwenu hamstahili na hamuwezi kujifanyia..

Kwahio huyo shetani alitaka miradi isifanyike kwa haraka na mtanzania wa kawaida anufaike…na JPM alijua maadui aliokuwa nao ni wajinga waliomzunguka…km huyu shetani anaeropoka kila siku…watanzania sisi sio wajinga…JPM mwenyewe anajua udhaifu wa viongozi tulikuwa nao na akalisema hapa…and it is exactly what is happening now….ni kumnanga tu bila kunyanyua jiwe lolote na kujenga nchi…wamekazana kubwabwaja na kusifia ili wajaze matumbo yao wakati mwanachi wa kawaida anateseka kila kukicha

Mkuu, wala sijaingia kwenye hoja kwamba kukopa ni sahihi au si sahihi.

Nimeongelea tu kwamba ni kweli Magufuli alikopa sana na hivyo kumshambulia Zitto kwa sababu kasema Magufuli kakopa sana, kama vile hilo si jambo la ukweli, si sahihi.

Ukitaka tuongelee tija za mikopo/ miradi ya Magufuli iliyotumika kujenga vitu kama daraja jipya la Salander (Tanzanite) na Uwanja wa ndege wa Chato tunaweza kujadili hayo pia.
 
Hana akili huyo achana nae.

Anasem miradi ya JPM, hiyo miradi ya Magufuli ni ipi? Ni mali yake binafsi? Iko chato nyumbani kwa Magufuli hiyo Miradi?

Ukweli gani anataka huyo mrundi? Kwani mikopo ni mara ya kwanza nchi hii tumechukua? Mbona haijawahi kua na faida yoyote. Angalau Magufuli alikopa kujenga Bwawa la Nyerere, kujenga SGR nk. Alitaka afanyeje?

Zitto ni mtu asie na akili sio wa kumsikiliza.
Magufuli alipokuwa anajiita serikali Mali yake yaani Serikali ya Magufuli ulimuuliza kama ni ya Chato au Burigi?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

View attachment 2215113
Linguistic, pole sana kwa kumpenda Magufuli ila nakuhakikishia kuwa Magufuli hatarudi kwenye ulimwengu wetu na hatakuwa tena Rais wa Tanzania, ni mfu na unapoteza muda bure kumtetea.
 
Kuna kauli za huyo muasisi wa ACT kama ile ya “wanaompenda Magufuli wakazikwe naye” zina m-disqualify kama fair critic wa hayati JPM. Hakuna atakalo sema jamaa hata kama ni kweli, mtu mwenye akili zake akalichukulia kwa umakini. Kimsingi jamaa ni mshamba flani wa kisiasa, maandalizi yake ya kwenda kanda ya ziwa kuwa-win watu wa huko, ni kumtukana Rais marehemu kutoka labda hiyo!!! Kweli?
Hilo nakubaliana na wewe kabisa na nimelitaja katika post yangu namba 7 hapo juu.

Zitto aliacha feelings ziingilie sehemu aliyotakiwa kufanya logical judgement with what the French call "savoir faire". The ability to know what to say, how to behave, where, how, with appropriate degree and measured poise.

So, he shot himself in the foot before starting a marathon.

Lakini pia, tunaweza kumtenganisha mtu na hoja yake.

Kwa sababu, hata mjinga anaweza kutoa hoja ya maana mara mojamoja.

Hususan kama hii si hoja ya Zitto tu.
 
Linguistic, pole sana kwa kumpenda Magufuli ila nakuhakikishia kuwa Magufuli hatarudi kwenye ulimwengu wetu na hatakuwa tena Rais wa Tanzania, ni mfu na unapoteza muda bure kumtetea.
Ni Imani yangu mkuu kwake najua hatarudi Tena ila anaishi moyoni Mwangu.... Karibu Umoja party
 
Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

View attachment 2215113
Wabunge wote wa upinzani waliwahi kugoma kuhudhuria kwenye hotuba ya Rais Bungeni, baada ya JPM kuingia madarakani. Mbunge pekee mmoja wa upinzani aliyewahi kuhudhuria hotuba hiyo alikuwa ni Zitto, kwa hiyo hapo awali, Zitto alikuwa anampenda sana Hayati JPM

Kwa uelewa wangu mimi, Zitto na JPM walikuja kuchonganishwa baadaye na kwa namna ambayo pengine hadi muda huu, Zitto mwenyewe haelewi kama waliwahi kuchonganishwa. Mh Sugu naye pia waliwahi kuchonganishwa na Hayati JPM in-as-much the same way kama ilivyofanyika kwa Zitto
 
So, he shot himself in the foot before starting a marathon.
Hii statement naifananisha na ile tuliyokuwa tunaambiwa na maafande JKT,.... "utajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe kama sangara"
Nimecheka sana
 
Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

View attachment 2215113
Magufuri alikuwa rais mjinga kuwahi kutokea na hatatokea Tena nchi rais mjinga kama yule.

Huko kuzimu Kuni ziongezwe au awekwe kwenye moto wa makaa ya mawe.
 
Hilo nakubaliana na wewe kabisa na nimelitaja katika post yangu namba 7 hapo juu.

Zitto aliacha feelings ziingilie sehemu aliyotakiwa kufanya logical judgement with what the French call "savoir faire". The ability to know what to say, how to behave, where, how, with appropriate degree and measured poise.

So, he shot himself in the foot before starting a marathon.

Lakini pia, tunaweza kumtenganisha mtu na hoja yake.

Kwa sababu, hata mjinga anaweza kutoa hoja ya maana mara mojamoja.

Hususan kama hii si hoja ya Zitto tu.
Mjinga anaweza kutoa hoja ya maana mara mojamoja.
.
MKuu Kwa hiyo watu waache kuwa judgemental bila ya kufanya analysis ya klilichoongeLewa na Zito?
.
Kwa Hyo Tuangalie kaongea nini sio kaongea nani.?
 
Achana naye tu huyo Cheese.
Hawezi kushindana na JPM hata siku moja.
Hata walale waamke wakimtukana JPM haitawasaidia. Nilishasema, JPM ni jiwe walilokataa WAASHI. Ukijikwaa katika jiwe hilo utasagika vipande vipande.
 
Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

View attachment 2215113
Mbona hili la Serikali kukopa mikopo katika mabenki ya biashara yenye riba kubwa mbona Zitto alilipigia kelele hata wakati Magufuli yupo hai kuna kipindi Serikali ilikanusha mpaka Zitto aliweka ushahidi ikabidi Serikali ije na ufafanuzi wa kujitetea au umesahau?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Magufuri alikuwa rais mjinga kuwahi kutokea na hatatokea Tena nchi rais mjinga kama yule.

Huko kuzimu Kuni ziongezwe au awekwe kwenye moto wa makaa ya mawe.
KaMa Umeona kwamba JPM alikuwa ni Mjinga basi na ww ni Mjinga pia
 
Hii statement naifananisha na ile tuliyokuwa tunaambiwa na maafande JKT,.... "utajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe kama sangara"
Nimecheka sana
Mwanasiasa anatakiwa kujua rhetoric. Content and delivery.

Unaweza kuongoza watu wajinga sana na kuwatoa katika ujinga bila kuwaambia "nyinyi wajinga sana".

Ukishawaambia watu "nyinyi wajinga sana", hata kama ni kweli, unaweka mambo ya ego na emotion, wananchi wanakosa imani nawe.

Zitto alitakiwa kuwa daraja la wafuasi wa Magufuli na waliompinga Magufuli.

Alitakiwa kututoa kwenye siasa za kumfuata mtu na tuangalie hoja.

Kwa ile kauli yake, hata akichambua ubovu wa hoja za Magufuli, kwa sasa anaonekqna ana chuki na Magufuli tu.
 
Back
Top Bottom