Nimechagua kumchukia Zitto Kabwe kutokana na kuwa na chuki na Hayati Magufuli

Nimechagua kumchukia Zitto Kabwe kutokana na kuwa na chuki na Hayati Magufuli

Kumtenganisha muasisi wa ACT na hoja zake, ni kumpa favor kubwa sana ambayo yeye anashindwa kuwapa wengine! Ni uamuzi wako kumchukulia serious jamaa, lakini walio wengi wanamuona ni mpuuzi tu mmoja, mbwabwajaji.

Siko katika suala la kumchukukia serious Zitto au mtu yeyote.

Kama nilivyosema awali, napenda kuangalia hoja zaidi ya mtu.

Na hoja hii ya kukopa sana imesemwa na wengi, si ya Zitto pekee.
 
Mwanasiasa anatakiwa kujua rhetoric. Content and delivery.

Unaweza kuongoza watu wajinga sana na kuwatoa katika ujinga bila kuwaambia "nyinyi wajinga sana".

Ukishawaambia watu "nyinyi wajinga sana", hata kama ni kweli, unaweka mambo ya ego na emotion, wananchi wanakosa imani nawe.

Zitto alitakiwa kuwa daraja la wafuasi wa Magufuli na waliompinga Magufuli.

Alitakiwa kututoa kwenye siasa za kumfuata mtu na tuangalie hoja.

Kwa ile kauli yake, hata akichambua ubovu wa hoja za Magufuli, kwa sasa anaonekqna ana chuki na Magufuli tu.
Ni kweli kabisa, na ninadhani labda anatakiwa akaoketeze baadhi ya mambo kwenye "48 Laws of Power". Wanasiasa walio wengi sana huwa wanatumia content iliyoko kwenye sheria hizo
 
Kuna kauli za Zitto amechemka, kama ile kauli ya kusema wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato ni ujinga.

Lakini, kwenye kukopa, hili ni kweli, hata ukisikiliza mazungumzo ya Tido Mhando na rais SSH, rais kalitaja hili.

Kwa hivyo, kwenye hilo Zitto yuko sawa.

Tuache kuongozwa na hisia, twende kwa data.
Zitto hakupima madhara ya kauli yake.
Ni kauli isiyofaa kabisa kuntamka watu wakazikwe na Magufuli. Hii ni kauli ya kulaani na wa watu wote.
Kuhusu mikopo yuko sahihi
 
Zitto hakupima madhara ya kauli yake.
Ni kauli isiyofaa kabisa kuntamka watu wakazikwe na Magufuli. Hii ni kauli ya kulaani na wa watu wote.
Kuhusu mikopo yuko sahihi
Kwa nn asituambie aina ya mikopo na Taasisi alizokopa Jpm? Uwezo wake Wa Kuchambua mambo umeshuka?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mjinga anaweza kutoa hoja ya maana mara mojamoja.
.
MKuu Kwa hiyo watu waache kuwa judgemental bila ya kufanya analysis ya klilichoongeLewa na Zito?
.
Kwa Hyo Tuangalie kaongea nini sio kaongea nani.?

Kwa nini swali liwe kaongea nini na sio kaongea nani?

Kwani hatuwezi kufanya analysis inayochanganya vyote (nini na nani)na kusema kwamba.

1. Zitto ametoa outbursts ambazo ziko emotional zaidi na zinaonesha ana bias against Magufuli.

2. Lakini, kuwa na bias against Magufuli hakukufanyi usiweze kusema ukweli kuhusu Magufuli. In fact in some cases bias dhidi ya mtu ndiyo inaweza kukufanya uchimbe deep na kugundua ukweli ambao watu wasio na bias hawawezi kuugundua.

3. Hivyo, hoja za mtu mwenye bias against Magufuli, zinatakiwa kuchunguzwa kwa kina zaidi kwa kujua kwamba si za mtu neutral, ni za ntu mwenye bias against Magufuli.

4. Hilo halimaanishi hoja hizo zitupiliwe mbali kwa sababu mtu ana bias against Magufuli.

5. Moja ya namna ya kuziangalia hoja hizi ni kuangalia watu wengine ambao hawana bias against Magufuli wamesemaje. Tunajua hoja ya serikali kukopa sana si ya Zitto tu, in fact hata watu waliokuwa wanamkubali Magufuli kama Spika aliyejiuzulu wamelisema hili. Kwamba serikali inakopa sana. Kwa hiyo hii si hoja ya Zitto tu. Rais mwenyewe kasema serikali imefanya miradi mingi kwa kukopa na kukopa kunazidi, ingawa hakujazidi sana. Hivyo suala la serikali kukopa ni fact, si spin ya Zitto tu.
 
Kuna kauli za Zitto amechemka, kama ile kauli ya kusema wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato ni ujinga.

Lakini, kwenye kukopa, hili ni kweli, hata ukisikiliza mazungumzo ya Tido Mhando na rais SSH, rais kalitaja hili.

Kwa hivyo, kwenye hilo Zitto yuko sawa.

Tuache kuongozwa na hisia, twende kwa data.
Thibitisha huo ukweli wa mkopo alioukopa , ni shilingi ngapi kutoka kwa nani na kwa masharti ya riba kiasi gani?
 
Zitto hakupima madhara ya kauli yake.
Ni kauli isiyofaa kabisa kuntamka watu wakazikwe na Magufuli. Hii ni kauli ya kulaani na wa watu wote.
Kuhusu mikopo yuko sahihi
Mkuu,

Kwa nini inakuwa vigumu sana kwa watu wengi kuona hivyo kama tunavyoona mimi na wewe?

Kwa nini inakuwa kama haiwezekani mtu akakosea kwenye kauli moja, na akawa sahihi kwenye nyingine?

Tumekuwa extreme sana kiasi kwamba ama unamkubali mtu na yote anayoyasema, ama unamkataa mtu na yote anayosema, bika kuwa na uwezo wa kukataa mengine na kukubali mengine?

Hizi nin? siasa ama ushabiki wa timu kama wa Simba na Yanga?

Hata huo ushabiki wa timu watu huwa wanapingana na timu zao mara nyingine.
 
Asikope ili iweje wakati anajua anakusanya kodi vyema na itarudi…huo ujinga mnaoaminishwa kwamba Tanzania ni maskini mtakaa hapo hapo….eti miradi mikubwa haitekelezeki kisa mmeshaimbiwa nyie ni maskini mmezoeshwa kujengewa mpaka vyoo vya mashuleni….mambo mazuri nyie kwenu hamstahili na hamuwezi kujifanyia..

Kwahio huyo shetani alitaka miradi isifanyike kwa haraka na mtanzania wa kawaida anufaike…na JPM alijua maadui aliokuwa nao ni wajinga waliomzunguka…km huyu shetani anaeropoka kila siku…watanzania sisi sio wajinga…JPM mwenyewe anajua udhaifu wa viongozi tulikuwa nao na akalisema hapa…and it is exactly what is happening now….ni kumnanga tu bila kunyanyua jiwe lolote na kujenga nchi…wamekazana kubwabwaja na kusifia ili wajaze matumbo yao wakati mwanachi wa kawaida anateseka kila kukicha

Huyu jamaa alikuwa ameshaiweza kazi. Alielewa changamoto zilizokuwepo. Kwa Sasa mambo ni shida.

Watawala wanalia tu, ammbo hayaendi.
 
Thibitisha huo ukweli wa mkopo alioukopa , ni shilingi ngapi kutoka kwa nani na kwa masharti ya riba kiasi gani?
Tanzania Debt Tops $37 Billion as It Increases Transport Spend

Tanzania debt tops $37 billion as it increases transport spend

By: Fumbuka Ng'wanakilala | Feb 09 2022 at 04:46 AM | International Trade

Tanzania’s national debt climbed by almost 20% last year as the East African nation ramped up borrowing to fund its infrastructure projects.

Public debt increased by $6.1 billion to $37.1 billion in 2021, the Bank of Tanzania said in a statement on its website.

Transport and telecommunication activities accounted for the biggest share of external debt, according to the report. Social welfare and education, and energy and mining followed.

Tanzania has increased public investment in rail links, roads, ports, and power plants as it looks to develop a regional trade and manufacturing hub. The government plans to increase spending by 7.4% in 2022-23 while keeping the budget deficit below 3% of gross domestic product.

The nation’s earnings from gold exports, its biggest source of foreign currency, fell 7.2% to $2.7 billion last year. Other foreign earnings, however, climbed; exports of manufactured goods such as sisal and sisal products jumped 33.5% to $1.2 billion, while travel receipts almost doubled to $1.4 billion as international tourist arrivals rebounded.
 
Kama hoja yake ya watu kuzikwa na JPM, hii nayo ni ya kipuuzi tu hata kama imesemwa na wengi!!
Ulisema kuwa Samia naye kasema kuwa JPM alikopa, je yeye hajakopa sana? Kajisema? Alikubali kusemwa na Ndugai kuwa anakopa sana??
Tatizo lenu wachangiaji wa Jamboforums miaka yote toka enzi na enzi ni double standards, mkipenda chongo mnaita kengeza. Katika blunders za JPM, kukopa sana siyo moja wapo hasa ukilinganisha na yaliyofanyika.
Hata wewe jaribu kuangalia bias zako hasa kuhusu JPM kabla ya kuunga mkono hoja za kipuuzi kama hii ya kukopa sana.
Mkuu,

Mimi hata sijafika kwenye kusema kuwa kukopa ni jambo baya.

Kukopa hata serikali ya Marekani inayochapisha hela ya dunia inakopa, tena ina deni kubwa sana tu na debt to GDP ratio yao yetu ina afadhali.

Tukizidisha ratio yetu mara tatu bado tunakuwa hatujawafikia Marekani.

Marekani wana debt to GDP ratio ya 133%, sisi tunaikimbiza 40%

Jaribu kusoma kwa ufahamu.

Hoja kwangu hapa ni kwamba kulikuwa na propaganda kwamba tunafanya mambo kwa hela zetu wenyewe, wakati serikali imekopa sana.
 
Kwa nini swali liwe kaongea nini na sio kaongea nani?

Kwani hatuwezi kufanya analysis inayochanganya vyote (nini na nani)na kusema kwamba.

1. Zitto ametoa outbursts ambazo ziko emotional zaidi na zinaonesha ana bias against Magufuli.

2. Lakini, kuwa na bias against Magufuli hakukufanyi usiweze kusema ukweli kuhusu Magufuli. In fact in some cases bias dhidi ya mtu ndiyo inaweza kukufanya uchimbe deep na kugundua ukweli ambao watu wasio na bias hawawezi kuugundua.

3. Hivyo, hoja za mtu mwenye bias against Magufuli, zinatakiwa kuchunguzwa kwa kina zaidi kwa kujua kwamba si za mtu neutral, ni za ntu mwenye bias against Magufuli.

4. Hilo halimaanishi hoja hizo zitupiliwe mbali kwa sababu mtu ana bias against Magufuli.

5. Moja ya namna ya kuziangalia hoja hizi ni kuangalia watu wengine ambao hawana bias against Magufuli wamesemaje. Tunajua hoja ya serikali kukopa sana si ya Zitto tu, in fact hata watu waliokuwa wanamkubali Magufuli kama Spika aliyejiuzulu wamelisema hili. Kwamba serikali inakopa sana. Kwa hiyo hii si hoja ya Zitto tu. Rais mwenyewe kasema serikali imefanya miradi mingi kwa kukopa na kukopa kunazidi, ingawa hakujazidi sana. Hivyo suala la serikali kukopa ni fact, si spin ya Zitto tu.
U nail it Mzee K
.
Ila Tunataka Kusema Zito haoni yanyoendelea Mpaka Sasa hapa nchini?
.
Je ishu ya kupandisha bidhaa awamu hii imekuwa too much, na sidhani km tunapaswa kutumia kigezo Cha Vita.
.
Leo Hii Zanzibar mafuta ni 2600+ ina maana wao anayachukulia dunia ipi?
.
Walichokifanya ni serikali kupunguza Kodi ili Bei isipande saana, Sasa kwasasa imekuwa hata bidhaa zinazozalishwa ndani na zilishazalishwa kitambo ziko kwenye magala wafanya biashara wanazipandisha tu hovyo.
.
Ni kama wamekosa mtu wakuwakalipia! Nondo Bai juu, saruji Bei juu, vyakula juu, mafuta juu, mabati juu, hata karatasi Bei juu duh! This is too much

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,

Kwa nini inakuwa vigumu sana kwa watu wengi kuona hivyo kama tunavyoona mimi na wewe?

Kwa nini inakuwa kama haiwezekani mtu akakosea kwenye kauli moja, na akawa sahihi kwenye nyingine?

Tumekuwa extreme sana kiasi kwamba ama unamkubali mtu na yote anayoyasema, ama unamkataa mtu na yote anayosema, bika kuwa na uwezo wa kukataa mengine na kukubali mengine?

Hizi nin? siasa ama ushabiki wa timu kama wa Simba na Yanga?

Hata huo ushabiki wa timu watu huwa wanapingana na timu zao mara nyingine.
Usipokuwa na uwezo wa kutofautisha mahaba na makosa huwezi kuhukumu kwa haki.

Nchi hii watu wana lo IQ sana hawatofautishi mambo na hawako tayari kujizoesha au kujifunza kutenda haki.

Ufike wakati hata mpenzi wako akikosea mtu usiyempenda umwambie wazi "hili ni kosa halikubaliki"

Uwezo huo wengi hawana.
Mfano mdogo tu ccm wanavyoyumbishwa na mahaba ya viongozi wao...wakati wa Magufuli walimuunga mkono kwa maandamano.

Sasa wanaimba upya kuwa nchi inafunguliwa...heee kumbe kipindi kile walijuwa wazi nchi inafungwa?

Kadhalika cdm na ACT wote hawawezi kukosoa makosa ya viongozi wao au hawawezi kupongeza mazuri wa mpinzani wao.

Tuna safari ndefu na ngumu kuhukumu kwa haki.
 
Back
Top Bottom