Huwezi kujua ugumu wa maisha unaoyokana na mikopo umiza ya jiwe,sababu unaishi kwa shemeji yako ana kulaza sebuleni.Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote
View attachment 2215113
Mimi siangalii mtu, naangalia hoja.
Sijapenda Zitto alivyosema wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato.
Hapo alichemka.
Lakini naweza kumtetea akisema rais Magufuli alikopa sana, kitu ambacho ni kweli.
Tatizo tunaangalia mtu kuliko hoja.
Mimi siangalii mtu, naangalia hoja.
Sijapenda Zitto alivyosema wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato.
Hapo alichemka.
Lakini naweza kumtetea akisema rais Magufuli alikopa sana, kitu ambacho ni kweli.
Tatizo tunaangalia mtu kuliko hoja.
Alikopa kwenye taasisi za biashara au la?Hiyo ni kampeni imepangwa kumchafua marehemu
Mkuu, wala sijaingia kwenye hoja kwamba kukopa ni sahihi au si sahihi.Asikope ili iweje wakati anajua anakusanya kodi vyema na itarudi…huo ujinga mnaoaminishwa kwamba Tanzania ni maskini mtakaa hapo hapo….eti miradi mikubwa haitekelezeki kisa mmeshaimbiwa nyie ni maskini mmezoeshwa kujengewa mpaka vyoo vya mashuleni….mambo mazuri nyie kwenu hamstahili na hamuwezi kujifanyia..
Kwahio huyo shetani alitaka miradi isifanyike kwa haraka na mtanzania wa kawaida anufaike…na JPM alijua maadui aliokuwa nao ni wajinga waliomzunguka…km huyu shetani anaeropoka kila siku…watanzania sisi sio wajinga…JPM mwenyewe anajua udhaifu wa viongozi tulikuwa nao na akalisema hapa…and it is exactly what is happening now….ni kumnanga tu bila kunyanyua jiwe lolote na kujenga nchi…wamekazana kubwabwaja na kusifia ili wajaze matumbo yao wakati mwanachi wa kawaida anateseka kila kukicha
Magufuli alipokuwa anajiita serikali Mali yake yaani Serikali ya Magufuli ulimuuliza kama ni ya Chato au Burigi?Hana akili huyo achana nae.
Anasem miradi ya JPM, hiyo miradi ya Magufuli ni ipi? Ni mali yake binafsi? Iko chato nyumbani kwa Magufuli hiyo Miradi?
Ukweli gani anataka huyo mrundi? Kwani mikopo ni mara ya kwanza nchi hii tumechukua? Mbona haijawahi kua na faida yoyote. Angalau Magufuli alikopa kujenga Bwawa la Nyerere, kujenga SGR nk. Alitaka afanyeje?
Zitto ni mtu asie na akili sio wa kumsikiliza.
Linguistic, pole sana kwa kumpenda Magufuli ila nakuhakikishia kuwa Magufuli hatarudi kwenye ulimwengu wetu na hatakuwa tena Rais wa Tanzania, ni mfu na unapoteza muda bure kumtetea.Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote
View attachment 2215113
Hilo nakubaliana na wewe kabisa na nimelitaja katika post yangu namba 7 hapo juu.Kuna kauli za huyo muasisi wa ACT kama ile ya “wanaompenda Magufuli wakazikwe naye” zina m-disqualify kama fair critic wa hayati JPM. Hakuna atakalo sema jamaa hata kama ni kweli, mtu mwenye akili zake akalichukulia kwa umakini. Kimsingi jamaa ni mshamba flani wa kisiasa, maandalizi yake ya kwenda kanda ya ziwa kuwa-win watu wa huko, ni kumtukana Rais marehemu kutoka labda hiyo!!! Kweli?
Ni Imani yangu mkuu kwake najua hatarudi Tena ila anaishi moyoni Mwangu.... Karibu Umoja partyLinguistic, pole sana kwa kumpenda Magufuli ila nakuhakikishia kuwa Magufuli hatarudi kwenye ulimwengu wetu na hatakuwa tena Rais wa Tanzania, ni mfu na unapoteza muda bure kumtetea.
Wabunge wote wa upinzani waliwahi kugoma kuhudhuria kwenye hotuba ya Rais Bungeni, baada ya JPM kuingia madarakani. Mbunge pekee mmoja wa upinzani aliyewahi kuhudhuria hotuba hiyo alikuwa ni Zitto, kwa hiyo hapo awali, Zitto alikuwa anampenda sana Hayati JPMWakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote
View attachment 2215113
Hii statement naifananisha na ile tuliyokuwa tunaambiwa na maafande JKT,.... "utajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe kama sangara"So, he shot himself in the foot before starting a marathon.
Magufuri alikuwa rais mjinga kuwahi kutokea na hatatokea Tena nchi rais mjinga kama yule.Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote
View attachment 2215113
Mjinga anaweza kutoa hoja ya maana mara mojamoja.Hilo nakubaliana na wewe kabisa na nimelitaja katika post yangu namba 7 hapo juu.
Zitto aliacha feelings ziingilie sehemu aliyotakiwa kufanya logical judgement with what the French call "savoir faire". The ability to know what to say, how to behave, where, how, with appropriate degree and measured poise.
So, he shot himself in the foot before starting a marathon.
Lakini pia, tunaweza kumtenganisha mtu na hoja yake.
Kwa sababu, hata mjinga anaweza kutoa hoja ya maana mara mojamoja.
Hususan kama hii si hoja ya Zitto tu.
Mbona hili la Serikali kukopa mikopo katika mabenki ya biashara yenye riba kubwa mbona Zitto alilipigia kelele hata wakati Magufuli yupo hai kuna kipindi Serikali ilikanusha mpaka Zitto aliweka ushahidi ikabidi Serikali ije na ufafanuzi wa kujitetea au umesahau?Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote
View attachment 2215113
KaMa Umeona kwamba JPM alikuwa ni Mjinga basi na ww ni Mjinga piaMagufuri alikuwa rais mjinga kuwahi kutokea na hatatokea Tena nchi rais mjinga kama yule.
Huko kuzimu Kuni ziongezwe au awekwe kwenye moto wa makaa ya mawe.
Mwanasiasa anatakiwa kujua rhetoric. Content and delivery.Hii statement naifananisha na ile tuliyokuwa tunaambiwa na maafande JKT,.... "utajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe kama sangara"
Nimecheka sana