Nimechaguliwa kujiunga na AZANIA SECONDARY SCHOOL A-LEVEL 2023 wanaoijua mnisaidie hapa

Watu hawamwambii ukweli dogo
Shule zote Dar nene tu ila Vihostel vyao ni very limited na Mara nyingi kwa Comb adimu ambazo watoto hutokea Mikoani kama CBN CBA hizo Combi zingine wengi ni Wenyeji wa hapahapa hivo wanajitafuta Wenyewe Makwao.
 
Sijui kwa sasa ila zamani wengi walipotezwa na makundi wakarudi kwao na O.
 
kaaa uelewe Dar es salaam hamna shule ya bweni ya serikali namaanisha shule zote maarufu Dar kama
  • Azania
  • Tambaza
  • kabasila
  • chang'ombe
  • jangwani
  • Benjamini na nyingine nyingine wadau watanisaidia

PUGU ni shule ya Bweni, Ipo Dar es Salaam
 
Shule zote Dar nene tu ila Vihostel vyao ni very limited na Mara nyingi kwa Comb adimu ambazo watoto hutokea Mikoani kama CBN CBA hizo Combi zingine wengi ni Wenyeji wa hapahapa hivo wanajitafuta Wenyewe Makwao.
so what to do broh, una cha maana hebu nipe hali halisi ya kuishi huko?
 
so what to do broh, una cha maana hebu nipe hali halisi ya kuishi huko?
Umefanya Chaguo gumu ila fika Shule utawakuta na Wengine kama wewe Mtajua mnaishije, Kikubwa ni kuandaa Hela tu ukamkabidh Mkuu upewe Hostel.
 
Unyama sana, sijui kwa sasa?
 
Hongera kiongozi kwa kuchaguliwa Aza boy, Mimi nilimaliza hapo 2018 level ya advanced PCB lakini sikupangiwa bweni kutokana na umbali mfupi wa makazi niliyokua naishi. Bweni lipo hapo Aza boy na kipaumbele kikubwa ni kwa wanafunzi wa advanced level kutoka mikoa mingine kwa hiyo usihofu kuhusu bweni kama umetoka mkoani, Pia utaambiwa ufike na godoro na vifaa vingine vinavyohitajika pia chakula kinapikwa hapo bwenini na mpishi maalumu.
Ushauri mwingine ukiwa hapo kama mwanafunzi wa advanced pendelea kupanga ratiba yako vizuri hii itakusaidia kumudu masomo yako vyema.
 
Sawa, nitalifanyia kazi. Hizo hostels zipo karibu na shule kabisa?
 
Ku
Kuwa making aza boy ndo shule bora
 
Hivi winga maana yake ni nini mkuu? Nia hawa wanaotangaza simu status au?
Yeah sio simu TU vifaa vyote kutoka kwenye maduka ya k/Koo wanatangaza na kutafuta wateja, wananunua kwa Bei ya jumla (kutoka kwa mwenye duka) wanauza kwa reja na faida juu, mfano jeans Bei ya jumla inauzwa elfu 14 yeye ataichukua anaenda kuiuza elfu 20 mpaka 23 atapata faida kuanzia 5000/- na kuendelea kwa kila jeans atakayoiuza, km haujaelewa uliza utajibiwa
 
Ahsante. Na simu kwamba wananunua kwa jumla pia? Je, layman(mgeni) kwenye shughuli hizi unamshauri atafute kazi nyingine au ajikite kwenye u-winga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…