Nimechaguliwa kujiunga na chuo kozi ya bachelor degree in digital content and broadcasting engineering ila siielewi

Sahihi
Pia
Pia naamini hata Jamii Forums wanatoa ajira za watu wa kozi hiyo. Soma hiyo dogo itakutoa kwa haraka kuliko hata computer engineering ambayo kozi zake wapo wengi sana na baadhi kozi zake zinapatikana pia kwenye programmes zingine kama computer science, cyber security, electrical and electronics engineering,sahih
 
Mleta mada naona anawaitikia tu! Ila naona moyo wake upo kwenye computer engineering...ila akae akijua hiyo computer engineering, sijui computer science na it. ina wahitimu wengi mno na wengi wapo mtaani hawana ajira mfano halisi ni mdogo wangu amefukuzia ajira mpaka amechoka ameamua kuwa muuza nafaka.

Ushauri wangu kwa mleta mada ni bora asome hyo course ya digital content kama atakuwa mtu wa kujiongeza inaweza kumfikisha sehemu ambayo hakuwaza kabisa

Hyo course inaweza kumfikisha hata cnn km atakuwa competent eneough
 
Hiyo ni Degree program si kozi, kozi zinakuwa nyingi zinaunda degree program. Jambo jingine sitofautiani sanaa na wachangiaji wengine, kikubwa nataka nikushauri upitie prospectus ya chuo uangalie degree program yako imesheheni course zipi na uwanda wako wa ajira ni maeneo yepi? Aidha tafuta program nyingine zinazohusiana na hiyo uzichambue kwa style hiyo kisha ufanye maamuzi magumu wewe mwenyewe. Kwa sababu msomaji ni wewe mwenyewe na ndiye uliyebeba hatma ya maisha yako.
 
N

Nimesha amua kusoma digital content...nimeipenda Bure😂
 
Nimeangalia ata prospectus ya UDOM nimeona kwel Ina content nzuri
Hiyo ni Degree program si kozi, kozi zinakuwa nyingi zinaunda degree program. Jambo jingine sitofautiani sanaa na wachangiaji wengine, kikubwa nataka nikushauri upitie prospectus ya chuo uangalie degree program yako imesheheni course zipi na uwanda wako wa ajira ni maeneo yepi? Aidha tafuta program nyingine zinazohusiana na hiyo uzichambue kwa style hiyo kisha ufanye maamuzi magumu wewe mwenyewe. Kwa sababu msomaji ni wewe mwenyewe na ndiye uliyebeba hatma ya maisha yako.
Nime angalia prospectus ya UDOM nimeona kwel Ina content nzuri
 
Pia nimeona Kuna baadhi ya content za computer engineering zipo na kwenye digital content kama vile computer maintenance na legal aspect in cyber security....
Hiyo ni Degree program si kozi, kozi zinakuwa nyingi zinaunda degree program. Jambo jingine sitofautiani sanaa na wachangiaji wengine, kikubwa nataka nikushauri upitie prospectus ya chuo uangalie degree program yako imesheheni course zipi na uwanda wako wa ajira ni maeneo yepi? Aidha tafuta program nyingine zinazohusiana na hiyo uzichambue kwa style hiyo kisha ufanye maamuzi magumu wewe mwenyewe. Kwa sababu msomaji ni wewe mwenyewe na ndiye uliyebeba hatma ya maisha yako.
 
N

Nimesha amua kusoma digital content...nimeipenda Bure😂
Kumbuka ili uwe competent unapaswa kujiongeza...kwanza kabisa jifunze graphic designing, content creation n.k ili vipindi vikianza tayari unakuwa na idea halafu ukitoka darasani yake uliyofundishwa nenda chemba uyachimbe uyajue kwa undani zaidi. Google na youtube ziwe nyenzo zako kuu
 
Naanza kifatilia saiv mkuu
 
Back
Top Bottom