lelulelu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 444 Reaction score 400 Aug 21, 2024 Thread starter #81 feyzal said: Kwasasa GPA uliyopata italusumbua sana mbeleni kama utataka kujiendeleza. NB:Hongera kwa kuhitimu Click to expand... Itasumbua kwa kozi yyte nikitaka kusoma au kwa kozi ya udaktari ?
feyzal said: Kwasasa GPA uliyopata italusumbua sana mbeleni kama utataka kujiendeleza. NB:Hongera kwa kuhitimu Click to expand... Itasumbua kwa kozi yyte nikitaka kusoma au kwa kozi ya udaktari ?
feyzal JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 7,683 Reaction score 15,128 Aug 21, 2024 #82 lelulelu said: Itasumbua kwa kozi yyte nikitaka kusoma au kwa kozi ya udaktari ? Click to expand... Udaktari na baadhi ya kozi muhimu. Kwasasa ushindani mkubwa njia ya Diploma kwenda degree ni ngumu sana kama una GPA ya kubumba.
lelulelu said: Itasumbua kwa kozi yyte nikitaka kusoma au kwa kozi ya udaktari ? Click to expand... Udaktari na baadhi ya kozi muhimu. Kwasasa ushindani mkubwa njia ya Diploma kwenda degree ni ngumu sana kama una GPA ya kubumba.
lelulelu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 444 Reaction score 400 Aug 21, 2024 Thread starter #83 feyzal said: Udaktari na baadhi ya kozi muhimu. Kwasasa ushindani mkubwa njia ya Diploma kwenda degree ni ngumu sana kama una GPA ya kubumba. Click to expand... DAh aisee,ila nitafanikiwa tu
feyzal said: Udaktari na baadhi ya kozi muhimu. Kwasasa ushindani mkubwa njia ya Diploma kwenda degree ni ngumu sana kama una GPA ya kubumba. Click to expand... DAh aisee,ila nitafanikiwa tu
Mwanamke wa mithali 31 JF-Expert Member Joined Apr 10, 2024 Posts 1,159 Reaction score 2,577 Aug 21, 2024 #84 Nenda private