Nimechaguliwa kusoma Clinical Medicine, nijiandae vipi wakuu?

Kwasasa GPA uliyopata italusumbua sana mbeleni kama utataka kujiendeleza.

NB:Hongera kwa kuhitimu
Itasumbua kwa kozi yyte nikitaka kusoma au kwa kozi ya udaktari ?
 
Udaktari na baadhi ya kozi muhimu.

Kwasasa ushindani mkubwa njia ya Diploma kwenda degree ni ngumu sana kama una GPA ya kubumba.
 
DAh aisee,ila nitafanikiwa tu
 
Back
Top Bottom