Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Watu wamechanganyikiwa wanapewa rushwa za elfu 20 au 10, wanaongoza huo ujinga ni DCsKatika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini..
Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!
Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?
Hayati Professor Maji Marefu (Mb) uwaombee akili mpya watu wako huko ulikoBango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?
Usikute hata aliyechapisha bango ali reason hivi? Poor youHiyo ni barabara ya halmashauri
Au usikute ni yeye 😂😂Usikute hata aliyechapisha bango ali reason hivi? Poor you
Mbona barabara mahandakii?au huko kuna vitaa?Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini..
Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!
Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?
Wanasema hawana Deni na mamaMbona barabara mahandakii?au huko kuna vitaa?
Basi sawa huenda wao wala ndugu zao hawasafiri na hawahitaji kusafiri.a.k.a wao ni wa hapa hapa.Wanasema hawana Deni na mama
Ni huzuni kwa familia!Sasa hapo dereva mgeni unakuja speed usiku usiku tu nasikia tu taarifa kwa Millard ayo gari ya usajili. EME yatema bungo
Korogwe mji ulikuwepo kabla ya majiji ya Arusha na Mwanza ila umebaki vile vile slivyo liacha Mjerumani