Nimecheka sana hili bango nililoona hapa Korogwe mjini -Tanga

Kiujumla mkoa wa Tanga bado kuna umaskini sana,ukifika Tanga mjini ndo unachoka kabisa, majengo ya zamani karibia yanaporomoka chini lakini bado yanakaliwa na watu,
Mikoa ya watu wavivu hasa mikoa ya Pwani ni maskini na ndo mitaji ya ccm
 
Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,

Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!

Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!

Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?

View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
#kichwa maji,
CCM, Inafuata ilani, ilani ilitamka kufika malengo gani, yapi na yapi?, kipi na kipi?, kwa miaka 4,mnayokuwa mmejipangia, mfano ilani inaweza kutamka, shule 5,hospital 5,huduma za ugani ziwepo kwa 100%, tusiwe na vifo vya wajawazito,wanapoitimiliza basi hawanabudi kufurahia, maana ulichopanga kimefanikiwa.
 
Hii ni barabara inaenda kwenye hospitali ya wilaya ...
Sijui unaleta ilani gani hapa mwana CCM..
 
So far janga kuu la kantri ni ngono, kamari na uchawa tu🙌
 
Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,

Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!

Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!

Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?

View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Akili ya CCM siku zote ni hizi, wanaona fahari kuteseka na kuishi maisha duni. Kwa kweli CCM ni adui wa haki kwa Watanzania.
 
Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,

Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!

Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!

Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?

View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Level of brainwashing imefanyika nchi hii, need to be studied, na itenengenezewe thesis kabisa. Kuna ujinga, halaf kuja ujinga and beyond
 
Chawa kazini, anajaribu kumpaka nguruwe lipstick awe mrembo kama pisi
Nchi, ni dubwana kubwa, lenye kuhitaji maendeleo katika kila kona, kila chochoro, Nchi hujengwa hatua kwa hatua, (wao chadema huwaaminisha machizi wao kuwa kila kitu kitakuwa safi mara moja, nazo nyumbu huamini hivyo!, kwa kuwa vichwani hakuna medulla)
 
Back
Top Bottom