Nimecheka sana hili bango nililoona hapa Korogwe mjini -Tanga

Nimecheka sana hili bango nililoona hapa Korogwe mjini -Tanga

Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,

Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!

Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!

Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?

View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Ila hili taifa 😆😆😆 hapo ni town afu wanaandika hatukudai mama sogea ndan ndan utakutana na shida noma noma
 
Halafu siku hizi pia imekuwa desturi DC& RCs kuvaa kofia za SSH kama sare sasa sijui mtu asipovaa ndio anaonekana hafanyi kazi

Hebu mnisaidie maoni yenu hapa kunguni waandamizi wa mama ChoiceVariable The Sunk Cost Fallacy 2 Lucas Mwashambwa ni kweli kwa barabara hizo Korogwe hawamdai mama yenu?

Kwa Mbozi kwenu msiongee kitu maana najua ndio panatisha kuliko hata Korogwe.
 
Mfumo wa kujipendekeza umeiharibu sana Tanganyika, Tanganyika ya mkapa ,mwinyi na kikwete haikuwa na haya maujinga,

Chanzo Cha haya yote ni uwezo alionao rais wa kuteua watu wengi sana hivyo kuunda uchawa wa kujiunga.

No reform no election
 
Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,

Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!

Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!

Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?

View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Chawa na ma - CCM kwa ujumla na serikali yao yote ni majinga na ujinga uko kwenye stage ya upumbavu kabisa....

Hii akili iliyooandika bango hilo na ukiangalia hali halisi ya nchi na wananchi ndo utatambua kumbe nchi haina viongozi bali kuanzia ikulu, bungeni na mpaka kwenye majeshi yetu na mahakama tumejaza mazoba tu na sio binadamu wenye akili zilizokamilika..!
 
Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,

Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!

Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!

Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni


Hawa wamefanywa misukule nini? Hakuna barabara lakini wanasema hawana deni. Hivi huyo wanaesema hawana deni naye aliwakopesha wakawa wanalipa? Au ni wao walimkopesh akawalipa? Nani mdaiwa na nani mdai?
 
Back
Top Bottom