Nimecheka sana hili bango nililoona hapa Korogwe mjini -Tanga

Korogwe mji ulikuwepo kabla ya majiji ya Arusha na Mwanza ila umebaki vile vile slivyo liacha Mjerumani
CCM hoyee mitano tena.
Kamba, korogwe imekua mji hivi karibuni tu, na ni mji mpya ambao umekua karibuni, hauna historia yoyote ile compare to sehemu kama Tanga Mjini, Pangani etc.
 
Hapo korogwe jau kweli yaani, hapo ndo kwao na marehem Kijazi, ndo kwa Merry Chatanda, kwa Mufti Zuberi na wengine wengi maarufu ila hata project ya maji tu wameshindwa. Maji yanaweza kata hadi wiki tatu

Ndo wilaya iliyo bahatika kupata viongozi wachapa kazi mfano Robert Gabriel, Mrisho Gambo, Joketi.

Angalau Joketi kipindi chake kapambana wamepata taa za barabarani lakini korogwe Kiujumla pamejaa ufujaji tu.
 
wehuu kweli kweli utasemaje humdai nabado utalipa kodi unamwitaji nini mtu usiedaiana nae tafuta mtu unaeweza mdai maendeleo/muendelezo wa haki,amani
 
Huenda wamemaanisha yakuwa "mama tutembelee na huku umetusahau kwani tunakudai?"
 
Hapo korogwe jau kweli yaani, hapo ndo kwao na marehem Kijazi, ndo kwa Merry Chatanda, kwa Mufti Zuberi na wengine wengi maarufu ila hata project ya maji tu wameshindwa. Maji yanaweza kata hadi wiki tatu

Ndo wilaya iliyo bahatika kupata viongozi wachapa kazi mfano Robert Gabriel, Mrisho Gambo, Joketi.

Angalau Joketi kipindi chake kapambana wamepata taa za barabarani lakini korogwe Kiujumla pamejaa ufujaji tu.
Kuna msimu uunasikia vigoma milimani huko usiku sijui ni sherehe gani zile
 
Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,

Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!

Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!

Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?

View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Level ya uchawa na unafiki miongoni mwa viongozi wa Serikali ya sasa umefikia kiwango cha juu sana
 
Wanamsifia ila hawataki tume huru ya uchaguzi
 
Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,

Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!

Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!

Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?

View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Jirani yako Mhuni anaweza akakuchomea nyumba halafu akakupa hifadhi na akawa anatembea na mke wako ukiwa kwenye hifadhi kwake .
 
Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,

Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!

Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!

Je ni kweli Korogwe mjini hawana deni na mama?

View attachment 3307466View attachment 3307462View attachment 3307461
Tafsiri kuu wanayo wenyewe, wewe Yako itakuwa ya kichadema-chadema tu.
 
Nimejikuta nacheka kama Chizi eti.
Nchi hii,ukiwa mwanaccm.Huna tofauti na waiting inayotembea.
 
Back
Top Bottom