Nimecheka sana, kumbe wabunge ni weupe hivi!

Nimecheka sana, kumbe wabunge ni weupe hivi!

Mara yangu ya mwisho kutazama au kusikiliza Bunge ni mwaka 2015
Mimi sikumbuki mara ya mwisho ni lini. Kuliangalia bunge ni kupoteza muda wako. Kila aamkae siku hizi nasikia ni kusifia mwanzo mwisho. Zamani ilikuwa kuuponda upinzani.
 
Nchi yenye shida nyingi hivi wanapata wapi muda wa kujadili mambo yasiyo na manufaa. Karne ya 21 bado tunajadili mambo madogo madogo huku tukiwa hatuwezi kujitegemea kwa chochote hadi tukawaombe wenye akili na wanaojali muda kwa kufanya kazi masaa 24. Badae tunajishangaa kwanini sisi ni maskini.
 
Afadhali huyu kapata tuzo za kimataifa mapemaaaaa!! jiwe sasa, ndo utalia bureeee!.............Mama yuko safi .........lkn hiyo mijibunge miiingi ni ile ndiyo bwana aloiacha Magu!....km huyo naniiii......Jafo....sasa lazima wafanye ivo lkn chaguzi zijazo zinatisha! usilie....
 
Hiyo tuzo si kachukua kwa niaba yake?
Ila haata sioni umuhimu wa hiyo tuzo na wala haina maana yoyote ile ni kupoteza muda tu
 
Halafu eti hawakukosea kabisa kujaza fomu za NEC ya Dr Mahela wakati wa uchaguzi wa wabunge mwaka 2020!
 
Muheshimiwa kisauti huyoooo!! .......any way kadada kazuri haka! nakapenda kawe ka wifi kangu lkn sasa nahofia ubabe wake!! ....halafu kachaga sijui haka?...angekuwa mpole kwa mumewe aaaah! fster tu hata wanaume wanakaogopa haka sijui itakuwaje na mtoto hakana!
 
Hivi 2025 ni lini tukutane mtaani na hawa vilaza wa karne maana kama nchi tumepigwa .haki hili bunge ni mzigo kwa nchi
 
Lakini labda hiyo tamthiliya ya REVENGE haijatafsiriwa!tunaomba kipande Cha tamthiliya hiyo kutoka Azam ili tuwahukumu kwa Haki

Ila Kama imetafsiriwa Basi bungeni wanaenda wakiwa watupu kichwani🙄
 
Back
Top Bottom