Nimecheka sana Leo kama ni mazuri

Nimecheka sana Leo kama ni mazuri

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Mimi kiukweli na mahusiano ya watu wawili yaani na wachumba wawili ila nilivutiwa na bwana mmoja hivi basi tukaanza text za hapa na pale . Sikujua kama ameoa . Hadi hiyo siku mke wake alivyonipigia sim

Sasa kunasiku mke wake akaona zile text zangu Kwa bwana Ake akanipigia nakuniuliza mie nani na nilikuwa na babe wangu so kumjibu mie nani hapana aisee niliona nitaachika , Sasa nikajibu wewe nani na sikujui .
Wewe babe akasema who is this ??
Nikasema wrong number huyo dada akapiga simu nikakata hiyo siku niliziriwa hadi Sasa.

Ila huyo mwanaume ambaye mke wake anajishaua hajaacha kupiga anapiga tu kama tuliwahi kulana na huku Wala aisee . Kero .

Ila Jana nikaona nimwombe hela ya mgonjwa tuone hayo mapenzi ya kuandikiwa I LOVE U yakoje alikataa na Leo asubuhi nikamwambia jamani achana namimi Kaa nayule umpendaye na unayemsikilizia shida zake kicheko ndio Hiki katoa picha kweli ya mkewe aisee ni wakawaida sana aisee wale wakijijini Tena mwembamba kama Nini . Hata shepu zero kweli nimwembamba kabaya?? Mifupa haswa ndio maana bwana Ake ni mlevi na anastres pia analala na walevi wenzake ..

Ila alinikera sana Kwa sababu Jana mvua ilikuwa inanyesha na nimtu alikuwa wakaribu katika maongezi ila alinidis , ila uzuri nilimwomba mtu tu akanitumia nikampa , mgonjwa dawa zake , ila kukweli nimekoma kupapatikia visivyopapatika , manaa maisha nikuridhika na ulichonacho sijakosa chochote maisha ni Raha sana pale mwanaume anakupa utakacho,...

Ila wanadamu haturidhiki ila ngoja niridhike Sasa mwanaume niliyenaye Hana shida yoyote ila nitamaa tu za uzee mana ujana nimepita .. kazi ujinga tu
 
af644d714ea23a1a5e5dc7c7a0237b08.jpg
 
🤣🤣🤣🤣 Yaani depression ni mbaya sana. Yule Chotara wa Kijerumani yuko wapi ? Aisee nakushauri utafute mtaalamu wa Saikolojia akusaidie upate utulivu wa akili unakoelekea ni kubaya. Hata kama ni Uhuru wa kujieleza huu wa kwako umekuwa sio Uhuru bali ni utumwa
 
Dada pumzisha mwili wako/
Jionee huruma hata kidogo/
Kansa itakutafuna masos/
Dresing tebo full mikorogo/
Kichwa mirinda,miguu pepsi/
Ukitembea unaringa kujiona keki/
Mwili wako ni hekalu la roho mtakatifu,nakupenda usijenge bifu...

KIJUSO-NIKKI MBISHI,BABA MALCOM ZOHAN...
 
Back
Top Bottom