Nimecheka sana Leo kama ni mazuri

Nimecheka sana Leo kama ni mazuri

Mimi kiukweli na mahusiano ya watu wawili yaani na wachumba wawili ila nilivutiwa na bwana mmoja hivi basi tukaanza text za hapa na pale . Sikujua kama ameoa . Hadi hiyo siku mke wake alivyonipigia sim

Sasa kunasiku mke wake akaona zile text zangu Kwa bwana Ake akanipigia nakuniuliza mie nani na nilikuwa na babe wangu so kumjibu mie nani hapana aisee niliona nitaachika , Sasa nikajibu wewe nani na sikujui .
Wewe babe akasema who is this ??
Nikasema wrong number huyo dada akapiga simu nikakata hiyo siku niliziriwa hadi Sasa.

Ila huyo mwanaume ambaye mke wake anajishaua hajaacha kupiga anapiga tu kama tuliwahi kulana na huku Wala aisee . Kero .

Ila Jana nikaona nimwombe hela ya mgonjwa tuone hayo mapenzi ya kuandikiwa I LOVE U yakoje alikataa na Leo asubuhi nikamwambia jamani achana namimi Kaa nayule umpendaye na unayemsikilizia shida zake kicheko ndio Hiki katoa picha kweli ya mkewe aisee ni wakawaida sana aisee wale wakijijini Tena mwembamba kama Nini . Hata shepu zero kweli nimwembamba kabaya?? Mifupa haswa ndio maana bwana Ake ni mlevi na anastres pia analala na walevi wenzake ..

Ila alinikera sana Kwa sababu Jana mvua ilikuwa inanyesha na nimtu alikuwa wakaribu katika maongezi ila alinidis , ila uzuri nilimwomba mtu tu akanitumia nikampa , mgonjwa dawa zake , ila kukweli nimekoma kupapatikia visivyopapatika , manaa maisha nikuridhika na ulichonacho sijakosa chochote maisha ni Raha sana pale mwanaume anakupa utakacho,...

Ila wanadamu haturidhiki ila ngoja niridhike Sasa mwanaume niliyenaye Hana shida yoyote ila nitamaa tu za uzee mana ujana nimepita .. kazi ujinga tu
Yan nilivyomaliza Kupitia hako kaumbea kako kama vile anakufahamu Yan kama nakuona vile[emoji3][emoji3]jioni napita hapo kwako loveuuuu
 
Umeelewa ulichokiandika kweli? Anyway Mimi naona jamaa kafanya vizuri kukunyima pesa, naishia hapa
Kwani siye maskini au uliona tunadhiki hata mie siishi kwa hela za mchumba au hela za wanaume tunaishi Kwa jasho letu bibie unadhani akininyima pesa ndio mgonjwa atazima walahi sijui nikupe muamala wa pesa ulioko kwenye simu .

Kama wewe ni mwanaume au mwanamke mwenye utu huwezi kataa kumsaidia mgonjwa eti unakubali asisaidiwe nyie ndio watu mnaroho mbaya sana na mnaroho za kwanini nyie ndio wale watu mnawakataza wenzi wenu wasisaidie watu .

Na mkifulia mnaanza rudi Kwa magoti eti tumekosa tumekosa sana
 
Ninayo kweli sio uongo sijui umejuaje nisaidie basi nitokwe na depression Kwa sababu na babe 1 na babe 2 na huyo mlevi ambaye alinivutia tu Sasa nisaidie ili niweze kuwa na mmoja
harakaharaka ni kama hujafika 30 na huelewi inakuwaje? na kama umefia bc haizidi 32.
tulia kwanza unaweza kufanya maamuzi mazuri kuliko hii hali ninayoiona hapo
 
Mimi kiukweli na mahusiano ya watu wawili yaani na wachumba wawili ila nilivutiwa na bwana mmoja hivi basi tukaanza text za hapa na pale . Sikujua kama ameoa . Hadi hiyo siku mke wake alivyonipigia sim

Sasa kunasiku mke wake akaona zile text zangu Kwa bwana Ake akanipigia nakuniuliza mie nani na nilikuwa na babe wangu so kumjibu mie nani hapana aisee niliona nitaachika , Sasa nikajibu wewe nani na sikujui .
Wewe babe akasema who is this ??
Nikasema wrong number huyo dada akapiga simu nikakata hiyo siku niliziriwa hadi Sasa.

Ila huyo mwanaume ambaye mke wake anajishaua hajaacha kupiga anapiga tu kama tuliwahi kulana na huku Wala aisee . Kero .

Ila Jana nikaona nimwombe hela ya mgonjwa tuone hayo mapenzi ya kuandikiwa I LOVE U yakoje alikataa na Leo asubuhi nikamwambia jamani achana namimi Kaa nayule umpendaye na unayemsikilizia shida zake kicheko ndio Hiki katoa picha kweli ya mkewe aisee ni wakawaida sana aisee wale wakijijini Tena mwembamba kama Nini . Hata shepu zero kweli nimwembamba kabaya?? Mifupa haswa ndio maana bwana Ake ni mlevi na anastres pia analala na walevi wenzake ..

Ila alinikera sana Kwa sababu Jana mvua ilikuwa inanyesha na nimtu alikuwa wakaribu katika maongezi ila alinidis , ila uzuri nilimwomba mtu tu akanitumia nikampa , mgonjwa dawa zake , ila kukweli nimekoma kupapatikia visivyopapatika , manaa maisha nikuridhika na ulichonacho sijakosa chochote maisha ni Raha sana pale mwanaume anakupa utakacho,...

Ila wanadamu haturidhiki ila ngoja niridhike Sasa mwanaume niliyenaye Hana shida yoyote ila nitamaa tu za uzee mana ujana nimepita .. kazi ujinga tu
Usiseme wachumba sema mahawara. Uchumba??
 
Yes I have mahusiano ya babe 1 na babe 2 yaani na wanaume wawili mmoja wazamani na huyu mwingine ni WA majuzi tu ila Kuna huyu wajuzi alinivutia tu tukaanza mahusiano so Nini hujaelewa
Anajifanya mgumu kichwa🤣🤣🤣
 
Mimi kiukweli na mahusiano ya watu wawili yaani na wachumba wawili ila nilivutiwa na bwana mmoja hivi basi tukaanza text za hapa na pale . Sikujua kama ameoa . Hadi hiyo siku mke wake alivyonipigia sim

Sasa kunasiku mke wake akaona zile text zangu Kwa bwana Ake akanipigia nakuniuliza mie nani na nilikuwa na babe wangu so kumjibu mie nani hapana aisee niliona nitaachika , Sasa nikajibu wewe nani na sikujui .
Wewe babe akasema who is this ??
Nikasema wrong number huyo dada akapiga simu nikakata hiyo siku niliziriwa hadi Sasa.

Ila huyo mwanaume ambaye mke wake anajishaua hajaacha kupiga anapiga tu kama tuliwahi kulana na huku Wala aisee . Kero .

Ila Jana nikaona nimwombe hela ya mgonjwa tuone hayo mapenzi ya kuandikiwa I LOVE U yakoje alikataa na Leo asubuhi nikamwambia jamani achana namimi Kaa nayule umpendaye na unayemsikilizia shida zake kicheko ndio Hiki katoa picha kweli ya mkewe aisee ni wakawaida sana aisee wale wakijijini Tena mwembamba kama Nini . Hata shepu zero kweli nimwembamba kabaya?? Mifupa haswa ndio maana bwana Ake ni mlevi na anastres pia analala na walevi wenzake ..

Ila alinikera sana Kwa sababu Jana mvua ilikuwa inanyesha na nimtu alikuwa wakaribu katika maongezi ila alinidis , ila uzuri nilimwomba mtu tu akanitumia nikampa , mgonjwa dawa zake , ila kukweli nimekoma kupapatikia visivyopapatika , manaa maisha nikuridhika na ulichonacho sijakosa chochote maisha ni Raha sana pale mwanaume anakupa utakacho,...

Ila wanadamu haturidhiki ila ngoja niridhike Sasa mwanaume niliyenaye Hana shida yoyote ila nitamaa tu za uzee mana ujana nimepita .. kazi ujinga tu
Kwanini unatembea na mlevi?
 
Ninayo kweli sio uongo sijui umejuaje nisaidie basi nitokwe na depression Kwa sababu na babe 1 na babe 2 na huyo mlevi ambaye alinivutia tu Sasa nisaidie ili niweze kuwa na mmoja
Walevi hatuko hivyo bana . Anyway nikikwambia njoo kwangu hutaki ona sasa unakutana na waongo
 
Back
Top Bottom