Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Look like larvae! So worried indeed!, baadhi ya wanasiasa wanaweza kuwa nao vichwani 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Look like larvae! So worried indeed!, baadhi ya wanasiasa wanaweza kuwa nao vichwani 😁
Mwenzio alitaka aonekane amechinja mbuzi sikukuu haijampita hivi hiviAcha uongo hujachinja mbuzi, details za picha zinasrma umeitoa Fb
Sikukuu yote imeisha nimelala hoi afu anakuja kujidai kwenye hamna. 😂Mwenzio alitaka aonekane amechinja mbuzi sikukuu haijampita hivi hivi
Ushamwaribia mwenzio pozi
nawe mpana😅
Acha uchwawi wewe, kwetu tulishachinja na tukamla na mtema kuni tukampa kazi ya kukokea moto.Tupa hiyo nyama , mkila mtaona Cha mtema kuni
Hawa wanakuwepogo kwenye vichwa za viongozi wengi wa kiafrika mkuu.This dude!
View attachment 2854735
Wanasababishwa na wadudu kama inzi wanaoitwa botfly. Mdudu kama nzi anataga lava kwenye pua ya kondoo au mbuzi, halafu wale lava wanapanda ndani kwa ndani na kuingia ndani.This dude!
View attachment 2854735
Subiri habari yenu😂Acha uchwawi wewe, kwetu tulishachinja na tukamla na mtema kuni tukampa kazi ya kukokea moto.
Khaaa watu mna visa 😅😅Sikukuu yote imeisha nimelala hoi afu anakuja kujidai kwenye hamna. 😂
Habari ni lini maana nimekula mwaka 2003, nikala tena 2006 mbuzi mwenye hao wadudu.Subiri habari yenu😂
Kwahiyo watu wasichinje mbuzi?FB image..
Eweeeee sili tena japo tamu😋ndio mrembo naakipenga kamasi wanatoka
Hivi mkuu wewe ni ccm?This dude!
View attachment 2854735
Da Watanzania Tulisha Vurugwa Na Hawa wapuuzi nibasi tuLook like larvae! So worried indeed!, baadhi ya wanasiasa wanaweza kuwa nao vichwani 😁
Hili nalo mkalitazameccm wanadanganya kila kitu