Nimechinja mbuzi nimekutana na hiki kwenye ubongo, je binadamu tunayo?

Nimechinja mbuzi nimekutana na hiki kwenye ubongo, je binadamu tunayo?

Wewe jamaa ni muongo sana. Mbuzi hujachinja bali details za picha zinaonesha umeichukua Facebook hii picha. Huyo mbuzi umemchinjaje sasa?🙄 Hivi mnaleta habari za kuokoteza kuwatisha watu au kuanzisha Uzi tu nanyi muonekane? Hata kama utabaki mchangiaji bila kuanzisha Uzi genuinely utatambulika tu hapa JF.
 
Back
Top Bottom